Ni sababu zipi zinaizuia chadema kuiburuza tume mahakamani kwa kosa la jinai | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni sababu zipi zinaizuia chadema kuiburuza tume mahakamani kwa kosa la jinai

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Byendangwero, Dec 24, 2010.

 1. B

  Byendangwero JF-Expert Member

  #1
  Dec 24, 2010
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Katika siku za hivi karibuni Msajiri wa vyama vya siasa alitangaza mgaho wa ruzuku wa kwa vyama vya siasa. Takwimu hizo zinaonyesha mgaho wa ccm ni mara nne ya ule wa chadema. Tofauti hii bila shaka inatokana kwa kiasi kikubwa na uwiano wa kura za urais walizopata wagombea kupitia tiketi za vyama hivyo. Kwakuwa kwa mujibu wa taarifa ambazo zimekuwa zinatolewa na chadema, tume ya uchaguzi ilimpa ushindi mgombea wa ccm hasio ustahili; na kwakuwa katika kufanya hivyo amekiwezesha chama hicho kupata ruzuku kubwa kuliko stahili yake; ni sababu zipi zinaifanya chadema ishindwe kuifungulia kesi ya jinai tume hiyo kwa kula njama na ccm kupunguza kura zake kwa lengo la kukiibia fedha zake za ruzuku. maoni
   
 2. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #2
  Dec 24, 2010
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,495
  Likes Received: 2,739
  Trophy Points: 280
  Tatizo ni katiba ya nchi. Ndiyo maana CDM wanataka katiba mpya.
   
Loading...