Ni sababu zipi humfanya mwanamke kutoka maji sana wakati wa tendo

mahirtwahir

JF-Expert Member
Jan 12, 2013
613
311
Habari
Nauliza member mjuwao
Unaweza kufanya mapenzi na mpenzi wako ila ukajikuta hufurahii kwa kua hutokwa na maji mingi sehemu yake uke.

Dushelele akiingia pale ni kama mtu alieweka mguu katika karo maji mingi na harufu ya ajabu sana inakua kama unachopea kwenye toso ukienda bao moja tuu huwezi kuendelea kwa mazingira yanavyochafuka kitanda hakilaliki kinaroa kwa sehemu alipo lala

Hii hali inasababishwa na nn?
Na ni ipi tiba yake?
 
WANADAI: Anayetoa maji mengi huwa anapata multiple orgasm, na anakuwa ana-enjoy sana sex. Hawa wanaodai hivi hutuaminisha kuwa ni majibu ya tafiti za kisayansi. SIE KIENYEJI tunaamini hali hii huwapata wapenda kutumia ndizi kama chakula NA SIO KAMA TUNDA! Ndo maana ukienda Bukoba hali hii utaikuta sana (usiniulize kama K'njaro na Mbeya ni hivi pia).
Suala la harufu wanadai huwatokea mara nyingi wanaopenda kusafisha kunako kwa sabuni! Ati haitakiwi.
USHAURI: Jitahidi ubadili hisia zako na ku-assume kuwa unaya-enjoy sana maji hayo. Ungelijifunza katerelo kidogo ungefaidi zaidi!(Watafute wahaya ni wasomi wazuri kwenye hili). Na umshauri aachane na sabuni anapoosha kunako. Enjoy it!
 
Watakupoteza hao wanaokushauri uhamie tigo! Huyo anayetokwa na maji mengi yenye harufu mbaya ana infection kwenye viungo vyake vya uzazi. Kwa kawaida mwanamke aliyehamasishwa sawa sawa hutoa ute ili kulainisha uke wake wakati wa ngono. Kama ilivyo kawaida binadamu wanazidiana maumbile kuna ambao huwa wanatoa ute mwingi zaidi na wengine kidogo sana hivyo kusababisha dry sex.
 
Nendeni hospitali maji yanayotoa harufu anaweza kuwa na infection.
 
Back
Top Bottom