Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 23,410
- 36,553
Naona mara nyingi linatumika Kwa watu walikuwa na michango fulani ktk jamiiYote haya maneno mawili asili yake ni kiarabu
Marhoom (marehemu) aliekufa, mfu
Hayati :- my life au uhai wangu
Unaweza kumsifia umpendae na kusema Yaa hayati au Umri
Sasa kwa kiswahili hayati halina uhusiano na kifo na sijui liliingiaje
Sent from my SM using Tapatalk