Ni sababu gani zinaweza kupelekea wanandoa kutopeana ujauzito

Feb 20, 2017
62
72
Nina rafiki yangu ameoa huu mwaka wa tano yupo kwenye ndoa hawajabahatika kupata mtoto wala hawajawahi kupeana ujauzito hatta kwa bahati tu,,
Naombeni msaada wenu wa kimatibabu au nini Cha kufanya ili tatzo liishe
 
Huenda kuna mmoja ana tatizo au wote wana tatizo, hatua ya kwanza ni kwenda kuonana na tabibu/daktari awafanyie vipimo kujua tatizo lipo kwa nan na lipi

Mtazamo wangu.
 
Nenda hospitali wewe na mwenzi wako kwa ushauri na vipimo ukishafanya hayo waweza rudi tena kwa ushauri zaidi.
 
Hii Hali imeshika hatamu Sana

Age pia ni factor..

Mwanaume wa less than 25 sperm zake zina nguvu sana kuliko mwanaume wa 35.. pia na wanawake hivyo hivyo kwa mwanamke . Ni rahisi kushika mimba ukiwa na umri mdogo kuliko ukiwa above 30.

Ndoa nyingi siku hizi watu wanazifunga wakiwa above 30 wote mume na mke.. hapo na vyakula vya kimjini mjini lazima mtoto apatikane kwa mbinde tu
 
Apo nakuunga mkono mkuu ndomana vitoto vidogo vinafyatua tu unakuta watu wazima wamefunga ndoa za gharama mwaka wa tano ET mtu hajapata mtoto
 
Nina rafiki yangu ameoa huu mwaka wa tano yupo kwenye ndoa hawajabahatika kupata mtoto wala hawajawahi kupeana ujauzito hatta kwa bahati tu,,
Naombeni msaada wenu wa kimatibabu au nini Cha kufanya ili tatzo liishe
Low sperms count
Kuharibika kwa kizazi kwa sababu zozote zile
Ugumba wa asili
Ulozi
Laana
 
Back
Top Bottom