Ni Robo Tu Ya Wanaume Wa Dar Wenye Mbegu Zenye Rutuba

utashangaa jinaume limeoa bado linapiga punyeto na halijanyimwa mh
 
Eh bana eh hii sasa balaa na nusu. Kama asilimia ni kubwa hivyo hapa jijini, basi hili ni janga la kitaifa. Sasa watafiti wana suluhisho gani la kupunguza kama sio kumaliza tatizo? Au tiba yake ni ushauri wa mtu mmoja mmoja? Pia wakuu kuna hili tatizo la wana ndoa kupata mtoto mmoja tu na uwezekano wa mtoto wa pili ukawa tatizo linlochua miaka mingi au kukosa kabisa.
 
Whaaaaat!
sasa nimejua kwanini asilimia 60% watoto ndani ya ndoa sio wa mume ...nadhani wanawake waligundua siku nyingi ila wakaamua wasiseme!
tungepata methodology iliyotumika kwenye utafiti huu....huenda wamewapima wale wanaokwenda pale kwa matatizo fulani na sio vidume wote tulionao kwenye madaladala, masokoni na maofisini. Unajua mfumo dume unasaidia sana kuficha abouts za kina baba na kina mama nao wako clever/stupid... they know how to deal with these kind of problems...having children with other men hahaaaaaaa
haaaaa 24.9 dar hahhahaaaaaaaaa lol:becky: ( usiniulize kwanini nacheka....) wanatusuumbua kutuapproch maofisini...njiani....kwenye warsha na mikutano kumbe MBEGU ZAO HAZINA RUTUBA !!!!! ZAFAA TU KWA STAREHE hahaaaaaaah lol lol
mix with yours

teeeh ndo nzuri hizo haziwezi kuchavusha.daaah nakumbuka darasa la Tano mamabo ya uchavushaji peke
 


IMEFAHAMIKA, kuwa idadi ya wanaume wa Kitanzania wenye mbegu za uzazi zisizorutubisha hivyo kutoweza kurutubisha yai la mwanamke na kusababisha mimba inaongezeka. Kwa mujibu wa gazeti la ' The Citizen' toleo la Jumamosi Julai 17,2010 zaidi ya asilimia 35 ya wanaume wanaofanya vipimo vya rutuba za mbegu za uzazi wamegundulika kuwa hawana.

Mara nyingi lawama za kukosa mtoto katika familia zimekuwa zikielekezwa kwa mwanammke kutokana na wanaume wengi kutokuwa na ujasiri wa kujitokeza kupima rutuba zao.

Mazingira ya kazi, Mtindo wa maisha na hata hata kukaa kwa muda mrefu kwenye chumba chenye mvuke ni baadhi ya sababu zinazochangia wanaume kupungikwa rutuba za mbegu za uzazi.

Katika jiji la Dar es Salaam pekee, inaaminika kuwa ni asilimia 24.9 tu ya wanaume wa Dar es Salaam walio na mbegu za uzazi zenye rutuba, hivyo, wenye uwezo wa kurutubisha yai la mwanamke na hivyo basi, mimba kutokea.
Utafiti huo umefanywa na Idara ya Jinikolojia ya Hospitali ya Taifa Ya Muhimbili.



Questionable
 
What a weekend starter?

Utafiti huo nadhani ni sahihi kwa kiasi fulani:

Kuna young couples kama 10 hapa Dar es Salaam ambao nawafahamu fika - mimi ni kama Kaka yao - Wake zao wameshindwa kabisa kupata ujauzito! Wengi wao wameshafikia hatua ya kwenda kwa waganga! The youngest couple ameoa kama miaka miwili iliyopita - Wote wana maisha kati hadi juu

Hii ya kukaa kwa muda mrefu kwenye chumba chenye mvuke itawahathiri vijana wengi - has wale wanajulikana hapa mujini kama "young corporate" - Wanakaa kwenye ACed environment masaa zaidi ya kumi kwa siku!

Hao lazima ni waathirika au wamesha kanyaga miwaya. Wanajua wakizaa kitoto kitakufa na watu wataanza kuuliza maswali. Wengi tuu wanajulikana kwamba wana HIV ndiyo maana wanaogopa kuzaa.
 
Tafiti zingine pumba tupu
Hii tafiti haijakaa sawa, huhitaji darubini ya kutazamia nyota kuliona hili.

Hilo 'tatizo' la wanaume wenye rutuba kuwa robo tu si lingejionesha kwene statistics za uzazi mahospitalini au kwene sensa za taifa kulinganisha na miaka ya nyuma?

Yaani wameniuzi sana na nazidi kutoamini chochote kinachotoka kinywani mwa mbongo!
 
Hii tafiti haijakaa sawa, huhitaji darubini ya kutazamia nyota kuliona hili.

Hilo 'tatizo' la wanaume wenye rutuba kuwa robo tu si lingejionesha kwene statistics za uzazi mahospitalini au kwene sensa za taifa kulinganisha na miaka ya nyuma?

Yaani wameniuzi sana na nazidi kutoamini chochote kinachotoka kinywani mwa mbongo!

Mkuu hii tafiti inahitaji kurudiwa ila kuna ka element ka ukweli
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom