Ni Robo Tu Ya Wanaume Wa Dar Wenye Mbegu Zenye Rutuba

NGULI

JF-Expert Member
Mar 31, 2008
4,803
637

IMEFAHAMIKA, kuwa idadi ya wanaume wa Kitanzania wenye mbegu za uzazi zisizorutubisha hivyo kutoweza kurutubisha yai la mwanamke na kusababisha mimba inaongezeka. Kwa mujibu wa gazeti la ‘ The Citizen’ toleo la Jumamosi Julai 17,2010 zaidi ya asilimia 35 ya wanaume wanaofanya vipimo vya rutuba za mbegu za uzazi wamegundulika kuwa hawana.

Mara nyingi lawama za kukosa mtoto katika familia zimekuwa zikielekezwa kwa mwanammke kutokana na wanaume wengi kutokuwa na ujasiri wa kujitokeza kupima rutuba zao.

Mazingira ya kazi, Mtindo wa maisha na hata hata kukaa kwa muda mrefu kwenye chumba chenye mvuke ni baadhi ya sababu zinazochangia wanaume kupungikwa rutuba za mbegu za uzazi.

Katika jiji la Dar es Salaam pekee, inaaminika kuwa ni asilimia 24.9 tu ya wanaume wa Dar es Salaam walio na mbegu za uzazi zenye rutuba, hivyo, wenye uwezo wa kurutubisha yai la mwanamke na hivyo basi, mimba kutokea.
Utafiti huo umefanywa na Idara ya Jinikolojia ya Hospitali ya Taifa Ya Muhimbili.
 
What a weekend starter?

Utafiti huo nadhani ni sahihi kwa kiasi fulani:

Kuna young couples kama 10 hapa Dar es Salaam ambao nawafahamu fika - mimi ni kama Kaka yao - Wake zao wameshindwa kabisa kupata ujauzito! Wengi wao wameshafikia hatua ya kwenda kwa waganga! The youngest couple ameoa kama miaka miwili iliyopita - Wote wana maisha kati hadi juu

Hii ya kukaa kwa muda mrefu kwenye chumba chenye mvuke itawahathiri vijana wengi - has wale wanajulikana hapa mujini kama "young corporate" - Wanakaa kwenye ACed environment masaa zaidi ya kumi kwa siku!
 
Whaaaaat!
sasa nimejua kwanini asilimia 60% watoto ndani ya ndoa sio wa mume ...nadhani wanawake waligundua siku nyingi ila wakaamua wasiseme!
tungepata methodology iliyotumika kwenye utafiti huu....huenda wamewapima wale wanaokwenda pale kwa matatizo fulani na sio vidume wote tulionao kwenye madaladala, masokoni na maofisini. Unajua mfumo dume unasaidia sana kuficha abouts za kina baba na kina mama nao wako clever/stupid... they know how to deal with these kind of problems...having children with other men hahaaaaaaa
haaaaa 24.9 dar hahhahaaaaaaaaa lol:becky: ( usiniulize kwanini nacheka....) wanatusuumbua kutuapproch maofisini...njiani....kwenye warsha na mikutano kumbe MBEGU ZAO HAZINA RUTUBA !!!!! ZAFAA TU KWA STAREHE hahaaaaaaah lol lol
mix with yours
 
tualikeni toka huku kijijini tuje turutubishe huko mjini...tehe teheee
 
:confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2:
Dada, mbona unapiga pale panapouma?
 
Huu utafiti ni wa kweli hapa golini kweti kuna kapo kadhaa children not reachable nahisi kati ya hao kuna baadhi labda wanaangukia kwenye hii kategori.

Na vipi swala la makondacta na madreva hasa hiace wanavaa suruale 3/4 siwanaongeza joto kwenye machine ya ku produce mbegu? Nahisi hata machips mayai yanachangia. Dume lina manyoa kama avatar ya ngoshwe then unakula chips asubuhi na jioni umebadili sana burger pale moroco then unategemea uwe na nguvu za kutoa mbegu?? wazee wetu walikula dona bana.
 
Mkuu upo? duu long time. Teamo aliniambia ulikuwa una dumisha mila
 
Ninazo zinazorutubisha nyingi sana ,wanawake wenye wasiwasi na waume zao waje tuzungumze biashara(bila sex) yaani nitawapa kwa A.I(artificial Incemination process)
 
Huu utafiti ni wa kweli hapa golini kweti kuna kapo kadhaa children not reachable nahisi kati ya hao kuna baadhi labda wanaangukia kwenye hii kategori.

Na vipi swala la makondacta na madreva hasa hiace wanavaa suruale 3/4 siwanaongeza joto kwenye machine ya ku produce mbegu? Nahisi hata machips mayai yanachangia. Dume lina manyoa kama avatar ya ngoshwe then unakula chips asubuhi na jioni umebadili sana burger pale moroco then unategemea uwe na nguvu za kutoa mbegu?? wazee wetu walikula dona bana.
Umenena superstar hapo kwenye misosi ndipo tunapojimaliza wenyewe!
 
Hiyo ni kweli kabisa,labda hao wa hapo Muhimbili watuambie kwa kina zaidi hasa suala la Sperm Count,Mortility and Morphology.
Vitu vinavyochangia:
1.Pombe
2.Aina ya chakula
3.Kuvaa underwear zinazobana kiasi kuleta joto
4.Kukosa vitamins mbalimbali

.
etc etc
 
Mtu akiwa na matatizo hayo anione mimi nitampa ushauri wangu na ataweza kupata Rutuba ndani ya ndoa yake na kwa sisi Wanaume pia inachangia sana punyeto kufanya pia tusiwe na rutuba tuache jamani kupiga punyeto wabongo wenzangu .
 
Mnaweza kufikiri hii ni joke, lakini siku hizi watu wengi wanahangaika sana kupata watoto. Sijui sababu ya konyagi??
 
Whaaaaat!
sasa nimejua kwanini asilimia 60% watoto ndani ya ndoa sio wa mume ...nadhani wanawake waligundua siku nyingi ila wakaamua wasiseme!
tungepata methodology iliyotumika kwenye utafiti huu....huenda wamewapima wale wanaokwenda pale kwa matatizo fulani na sio vidume wote tulionao kwenye madaladala, masokoni na maofisini. Unajua mfumo dume unasaidia sana kuficha abouts za kina baba na kina mama nao wako clever/stupid... they know how to deal with these kind of problems...having children with other men hahaaaaaaa
haaaaa 24.9 dar hahhahaaaaaaaaa lol:becky: ( usiniulize kwanini nacheka....) wanatusuumbua kutuapproch maofisini...njiani....kwenye warsha na mikutano kumbe MBEGU ZAO HAZINA RUTUBA !!!!! ZAFAA TU KWA STAREHE hahaaaaaaah lol lol
mix with yours

Wamama wanaamua kujisalimisha kwa kuleta watoto ili wasalimishe ndoa zao. lakini hiyo ni hatari sana. fikiria sasa mume kasoma hii makala na akaamua kujipeleka naye kupima si ndo mwisho wa ndoa? tena unaondoka na watoto wako.
Mi nadhani sasa imefikia wakati wababa nao wawe tayari kupima wanapoona kuna uchelewaji wa kupatikana mtoto na sio kumwachia mama achunguzwe peke yake. hiyo itasaidia kujijua na kusaidiana ushauri mfanye nini ili kuepukana na kuleta watoto wa nje ya ndoa.
 
MILA NA DESTURI ZETU ZINATUAMBIA MWANAMKE NDIO MARA NYINGI ANA MATATIZO....wababa wachache sana wanakubali kujichunguza lakini hata baadhi ya wasomi hawaafiki...mila na desturi zinatudanganya sana
mix with yours
 
Back
Top Bottom