Ni rasmi sasa VODA inafukuza wateja

hahahaaaa.....
hawana huruma hawa viumbe wa voda...
sasa hivi sh 500 unapata dakika 9,mb 40..............lol
kidogo nipate ugonjwa wa moyo
 
Wamebadili vifurushi ambavyo ulikuwa ukijiunga unapiga mitandao yote, lakini sasa ukinunua vifurushi hivyo unapiga voda-voda tu, huku kwenda mtandao mwingine unakatwa hela nyingi kama zamani zile! Hii ni msiba kwetu sisi walala hoi. Na kwakweli sasa inanilazimu kuuhama huu mtandao!

Mimi nimeamua kuhamia TIGO. Last week Jumamosi TAREHE 28/6/2014 nilinunua kifurushi cha Internet unlimited cha wiki Shs 6000. Wakakata hela lakini hawakuwezesha mtandao. Nikapiga 100 customer care nikajibiwa muda wangu wa kupiga huko umeisha eti nisubiri mpaka August au nilipie Shs 100 niongee nao. Nikajaribu hii option ya pili. Kila nikilipia inajirudia kudai nilipie. Mchezo huu uliendelea mpaka nika-give up. Hata hivyo kwa vile nilikuwa nahitaji sana kutuma e-mail niliamua ninunue unlimited ya saa 24 nikakatwa Tshs 1000. Hakuna kitu. Nikarudia tena, Hakuna kitu. Nikaachana nao. Eti Jumatatu mchana ndio wananitumia sms unlimited ya saa 24 imewezeshwa. Hapo hapo napokea message nyingine kuwa imeisha. NIMEWAAGA, SITAKI KUWASIKIA NA HATA KUWAONA. KWA HIYO SITADAI PESA WALIZONIIBIA.
 
hahahaaaa.....
hawana huruma hawa viumbe wa voda...
sasa hivi sh 500 unapata dakika 9,mb 40..............lol
kidogo nipate ugonjwa wa moyo

Mbona hiyo nyingi sana broo pamoja na SMS 300???????? Dakika 1 sh 56, uliona wapi rahisi kama hii
 
Mimi nimeamua kuhamia TIGO. Last week Jumamosi TAREHE 28/6/2014 nilinunua kifurushi cha Internet unlimited cha wiki Shs 6000. Wakakata hela lakini hawakuwezesha mtandao. Nikapiga 100 customer care nikajibiwa muda wangu wa kupiga huko umeisha eti nisubiri mpaka August au nilipie Shs 100 niongee nao. Nikajaribu hii option ya pili. Kila nikilipia inajirudia kudai nilipie. Mchezo huu uliendelea mpaka nika-give up. Hata hivyo kwa vile nilikuwa nahitaji sana kutuma e-mail niliamua ninunue unlimited ya saa 24 nikakatwa Tshs 1000. Hakuna kitu. Nikarudia tena, Hakuna kitu. Nikaachana nao. Eti Jumatatu mchana ndio wananitumia sms unlimited ya saa 24 imewezeshwa. Hapo hapo napokea message nyingine kuwa imeisha. NIMEWAAGA, SITAKI KUWASIKIA NA HATA KUWAONA. KWA HIYO SITADAI PESA WALIZONIIBIA.

tiGO gonjwa kuliko hata ukoma bora hata voda. Hiyo weka mbali na watoto.
 
ni wakati muafaka sasa kurudia line yangu ya tiGO niliyoifungia kabatini,naomba nikiri tu kwamba sikuitendea haki,inisamehe kwa kweli,kwa kheri VODA,nilikupenda sana lakini tiGO amenipenda zaidi na naahidi kuipenda kuliko line nyingine yoyote ile
 
hahahaaaa.....
hawana huruma hawa viumbe wa voda...
sasa hivi sh 500 unapata dakika 9,mb 40..............lol
kidogo nipate ugonjwa wa moyo
Wajinga ndiyo waliwao, huku airtel yatosha kwa sh.499 unapata dk15, Mb 125 na sms 300 mitandao yote. Tangu jana nimehamia airtel na kutupa line ya wezi voda.
 
Back
Top Bottom