Ni rasmi sasa VODA inafukuza wateja

IDEGENDA

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
4,505
5,331
Wamebadili vifurushi ambavyo ulikuwa ukijiunga unapiga mitandao yote, lakini sasa ukinunua vifurushi hivyo unapiga voda-voda tu, huku kwenda mtandao mwingine unakatwa hela nyingi kama zamani zile! Hii ni msiba kwetu sisi walala hoi. Na kwakweli sasa inanilazimu kuuhama huu mtandao!
 
Mkuu hujakosea kabisa kwa sasa hakuna mtandao unaoboa na kukera kama vodacom... Yanazngua kichz netwek shida kama nn... Vifurushi ndio hivo. Bora kuhamia baba lao
 
Wamebadili vifurushi ambavyo ulikuwa ukijiunga unapiga mitandao yote, lakini sasa ukinunua vifurushi hivyo unapiga voda-voda tu, huku kwenda mtandao mwingine unakatwa hela nyingi kama zamani zile! Hii ni msiba kwetu sisi walala hoi. Na kwakweli sasa inanilazimu kuuhama huu mtandao!

Muungwana IDEGENDA...Haya ni makampuni ya BIASHARA ya mawasiliano ni WANYONYAJI SANA. Kitambo fulani nilikuwa ng'ambo, kupiga SIMU ndani ya nchi ni bei nafuu sana.

Hapa kwetu, viongozi wetu wana HISA na UBIA katika haya makampuni ambao wanapaswa kusimamia sekta nzima ya mawasiliano.
 
Ni kweli ndugu juzi walinitumia sms kuwa vifurushi vitabadilika nikawahi kununua cha mwezi mzima, kikiisha tu narudia line yangu ya tigo na airtel! Line ya voda inakaa bench kwanza mpaka wajirekebishe.
 
Wamebadili vifurushi ambavyo ulikuwa ukijiunga unapiga mitandao yote, lakini sasa ukinunua vifurushi hivyo unapiga voda-voda tu, huku kwenda mtandao mwingine unakatwa hela nyingi kama zamani zile! Hii ni msiba kwetu sisi walala hoi. Na kwakweli sasa inanilazimu kuuhama huu mtandao!

mi sikumbuki hata line nimeitupia wapi. Wanabowa sana
 
Nyie acheni izo.. me nipo tigo nina mpango wa kuhamia voda ila ni kwa ajili ya modem tu..
 
Kuanza kutembea na lundo la lain kama enzi zile? Hapana, hapana, hapana....kwanza voda ya sasa hivi siyo ile ya zamani siku hizi hata network ovyo kabisa!
 
hizi ndio pesa ambazo lowasa husema "Nimechangiwa na marafiki zangu"

wajinga ndio wali wao
 
Toooo late jaman amieni mabasi mengine, hilo basi linajiabdaa na uchaguzi so pesa za kampeni zinatengenezwa
 
Dah, nimenunua cha buku nne Mia mbili nimekuta vioja. Halafu yaani ndani ya week tatu tu wameshabadilisha mara tatu. Mb ndio wameweka Mia saba
 
Uchaguzi umekaribia,,,wanaongeza Mitanni kilazimaa,,,hii c kawaidaa,,!!voda ama cut u off,,
 
Back
Top Bottom