Mkuu wew kwa akili zako unadhani lini ccm iliwahi kushinda kwenye box la kura?
Ccm hata kama inashinda kwa hira
Lakini vijana tulikuwa bado tumelala
Baada ya maisha ya mpito ya mwendazake na kuja huyu mama
Wananchi wamekata tamaa mazima hivi sasa wapo tayari kwa mabadiliko
Lakini siyo kupitia hivi vyama vya chadema ,ACT, cuf nk,
Tukitaka ccm itoke madarakani mchana kweupee
Ni kuunda chama kipya kitakacho jinasibisha. na vijana
Kuanzia viongozi,wagombea,sera na ungangari
Tuwe na slogan yetu sisi vijana kama kupigika tumepigika wote ,kama tozo tunakatwa sote uwe teja,uwe afande uwe muuza tunda la bibi,uwe konda tumepigika sote
Ivyo basi afande vua kombati vaa uwalisia wa ujana acha kutumika na wazee wezi wezi njoo kwetu tupa bunduki chini lete mabadiliko vijana wa leo siyo wale wabeba mabegi ya wanasiasa mshahara pombe ...
 
Una Umri gani?
Elimu yako je???
 
Mungu aende na Mama kwa kishindo kikuu chenye kuyaogofya mno majeshi makubwa ya adui, hadi 2030; AMINA.
 
Kukubali kuingia kwenye uchaguzi bila katiba mpya ni ujinga..
Huyu mama alikuwa sehemu ya ukwapuaji w kura 2020 na alibariki.
Na ameonesha ana kiu kikali cha urais.
Atafanya lolote ili aupate kuanzia ndani ya chama chake hadi nje.
 
Lisu yupi huyo anayeachia Chadema wa ndani wapambane siasa za ndani yeye akila Bata Ulaya akisubiri kuja kugombea na kuondoka kama TX?
Na wewe unakibali kuongozwa Tena na Mzanzibar?Vipi Tanganyika hakuna wenye uwezo wa kuongoza 2025.
 
Ila hizi ni zalau kubwa Sana kwa Watanganyika Yani tuongozwe Tena ma Mzanzibar?Ina Maana Watanganyika hawana uwezo wa kuongoza ? Mbona Watanganyika hawana haki ya kuongoza Zanzibar?Watanganyika tuondoe aibu ya kuongozwa na mheni Tena 2025.
 
2025 wapinzani wanatakiwa kuunda chama kipya

Kisiwe chadema, cuf, Act, wala chochote

Wapinzani tunatakiwa tuje kivingine

Tufanane fanane na kule south kwa julias malema au uganda kwa bobi wine

Wapinzani tuunde chama cha vijana

Tuje pamoja kama vijana wa upinzani kutoka vyama vyote vya siasa vyenye baraza la vijana

Mbowe, zito, lisu, lema, msigwa, sugu, lipumba nk

Wote hao zilipendwa awana tena mvuto

Kama tukija na mkakati huo 2925 CCM hii ya samia chaliii

Lakini tukileta tena ubinafsi wa chadema, Act, cuf

Hakuna mpinzani ataweza kuiangusha CCM kwa sura za hawa wakina lisu,mbowe,lipumba,zito,lema wananchi sio wajinga wataona ni kheri zimwi likujualo kuliko hao wapinzani wachumia Tumbo
Chadema + TUME HURU=CCM OUT
 
Mmmh kiukwel huku mtaan mama hakubaliki kabisa ...mi namsupport lkn mtaan hakubaliki watu hawamuelew kabisa...2025 atapata tabu sana
Bado mapema sana, tusubiri hotuba yake ya kufumga bunge 2025 na tutampima amefanya nini na kaboreshaje maisha ya watanzania
 
Upinzani siyo CCM na CHADEMA kwa sasa kwa sababu tunajua CCM itashinda hata kwa bao la mkono. Upinzani anaotakiwa kuufikiria ni wa ndani ya chama
Mwenyekiti wa CCM na rais hana upinzani wowote na magufuli kaomyesha hilo
 
Hii kauli imekuja na utata ufuatao.
1. Akiwaapisha viongozi aliowateua alionya watu kuanza harakati za uraisi kabla ya muda. Sasa mbona yeye anavunja kauli yake mwenyewe? Wengine wakianza sasa is itakuwa vurugu? Nani alaumiwe?
2. Hizi kauli za wanawake wajipange hajui ina madhara kwake? Kwa hiyo yeye ni raisi wa wanawake au kura za wanaume hazitaki? Kiongozi wa ngazi yake anapaswa kuwa mwangalifu na kauli za kijinsia au ubaguzi wowote maana kila kura anaihitaji ili kushinda.
3. Watu mtaani wanafuatilia kwa makini watu wa karibu yake na kauli zao na anavyogawa raslimali za nchi kati ya mikoa na kati ya bara na visiwani.
Mambo ni mengi...

Sent from my SM-N986B using JamiiForums mobile app
Rasilimali zipi kazigawa?
 
Back
Top Bottom