Kati ya marais wastaafu ni rais Mwinyi peke yake hajashiriki kwa namna yoyote ile kuharibu uchaguzi wa Zanzibar.
Akiwa ni muumini mzuri kabisa wa dini ya kiislam ambaye uumini wake hauna hata chembe ya shaka kwa maneno na vitendo hajashiriki kula njama ya kuharibu uchaguzi wa Zanzibar baada ya kuonekana kwamba Maalim SEIF HAMAD ameibuka mshindi.
Kwa kuwa imani ya dini ya kiislamu inatamaka wazi kabisa kuwa aliyeshinda na apewe, na pia kauri ya watu wengi ndiyo kauri ya mungu, na kwa kuwa wananchi wa Zanzibar walishatoa maamuzi kwa njia ya sanduku za kupigia kura, kwenda kinyume na maamuzi hayo na kutaka ushindi apewe mtu mwingine au chama kingine ni sawa na kufanya kosa la wizi. Rais mstaafu Alhaji Ali Hassan Mwinyi alishindwa kushiriki katika wizi huo.