Ni rahisi ngamia kupenya katika tundu ya sindano kuliko tajiri kuingia katika ufalme wa MUNGU

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,299
33,082
i rahisi ngamia kupenya katika tundu ya sindano kuliko tajiri kuingia katika ufalme wa MUNGU.jpg

Mwandishi wa habari apiga picha huku akilia nchini india.

MATAJIRI HAWAWEZI KUINGIA NDANI YA UFALME WA MUNGU

MPAKA NGAMIA AINGIE KATIKA TUNDU YA SINDANO.

UMASIKINI NI KITU KIBAYA SANA MWENYEEZI MUNGU ATULINDE NA HUO

MTIHANI WA UMASIKINI SEMA AMIN.
 
Oyooooooo!! BORA MIE DUME SURUALI NITAINGIA MBINGUNI ....kila siku nalia pesa hakuna kumbe ninakuwa namtafuta shetani eeh! Basii Mzizi mkavu umeniokoa Sana na kuanzia Leo sitafuti pesa tenaa! Bora nibaki kuwa dume suruali ilimradi tu NIINGIE MBINGUNI.
Utashikwa tako mtoto wa kiume usitafute hela unataka nani akutafutie,fanya kazi ili upate chochote uweze na kuwasaidia wasio na uwezo!
 
Huyu dada aje huku kwetu bongo ndio aone maajabu kiwango cha umaskini mtu anamla ndugu yake
 
Oyooooooo!! BORA MIE DUME SURUALI NITAINGIA MBINGUNI ....kila siku nalia pesa hakuna kumbe ninakuwa namtafuta shetani eeh! Basii Mzizi mkavu umeniokoa Sana na kuanzia Leo sitafuti pesa tenaa! Bora nibaki kuwa dume suruali ilimradi tu NIINGIE MBINGUNI.
Hauingii mbinguni Ng'o kwa staili hiyo. Unatakiwa utafute pesa, ukizipata usaidie ambao hawakufanikiwa kuzipata ndio uingie mbinguni.
 
Umaskini kamwe hautaisha usoni pa dunia,kamwe sitawafanya watu wangu kuwa mkia.
 
kweli hatutakuja kuchomwa moto sawa!we fikiria maisha ya dunia yakupige ile mbaya afu mwisho siku ukachomwe jiko moja na billgeti au dangote!si taandamana asee
 
Back
Top Bottom