Ni rahisi kwa tembo kupenya kwenye tundu la sindano kuliko mwanasiasa kuingia mbinguni

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
2,178
2,000
Wanasiasa kwa asilimia kubwa wengi wao wataenda motoni ikiwa una imani ya motoni na mbinguni.

Hawa huenda makanisani na misikitini kwa unafiki mkubwa sana wakitaka kuombewa na kubarikiwa ilhali ndani wamejawa uovu mkubwa wa kutisha.

Miaka yote wanasiasa wanasema wanapigania wanyonge. Wanyonge wapi? Wanyonge wanabaki kuwa wa kunyongwa miaka yote. Wananchi maskini wanaouliwa na wanasiasa kwa sababu mbalimbali ni wengi kuliko wanaouawa kwa malaria na magonjwa mengine.

Ni wanasiasa hawa hutoa amri ndugu zetu wateswe, wafungwe, wadhuriwe, wapotezwe na kupatwa na madhila mbalimbali. Ni hawa hawa na kesho na keshokutwa utawakuta nyumba za ibada wakimtaja Mungu. Ni dhahiri Mungu wao ni shetani.
 
Mbase1970

JF-Expert Member
Jun 11, 2015
6,030
2,000
Wanasiasa kwa asilimia kubwa wengi wao wataenda motoni ikiwa una imani ya motoni na mbinguni.

Hawa huenda makanisani na misikitini kwa unafiki mkubwa sana wakitaka kuombewa na kubarikiwa ilhal ndani wamejawa uovu mkubwa wa kutisha.

Miaka yote wanasiasa wanasema wanapigania wanyonge. Wanyonge wapi? Wanyonge wanabak kuwa wakunyongwa miaka yote. Wananchi maskini wanaouliwa na wanasiasa kwa sababu mbalimbali ni wengi kuliko wanaouawa kwa malaria na magonjwa mengine.

Ni wanasiasa hawa hutoa amri ndugu zetu wateswe,wafungwe,wadhuriwe,wapotezwe na kupatwa na madhira mbalimbali. Ni hawa hawa na kesho na keshokutwa utawakuta nyumba za ibada wakimtaja mungu. Ni dhahiri mungu wao ni shetani.
Kwani aliwaambia nini? Ya Kaizari muwaachieni Kaizari Mbinguni watafika sana ndiyo maana unawaona wanatoa pesa misikitini na makanisani
 
Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
24,884
2,000
Wanasiasa kwa asilimia kubwa wengi wao wataenda motoni ikiwa una imani ya motoni na mbinguni.

Hawa huenda makanisani na misikitini kwa unafiki mkubwa sana wakitaka kuombewa na kubarikiwa ilhali ndani wamejawa uovu mkubwa wa kutisha.

Miaka yote wanasiasa wanasema wanapigania wanyonge. Wanyonge wapi? Wanyonge wanabaki kuwa wa kunyongwa miaka yote. Wananchi maskini wanaouliwa na wanasiasa kwa sababu mbalimbali ni wengi kuliko wanaouawa kwa malaria na magonjwa mengine.

Ni wanasiasa hawa hutoa amri ndugu zetu wateswe, wafungwe, wadhuriwe, wapotezwe na kupatwa na madhila mbalimbali. Ni hawa hawa na kesho na keshokutwa utawakuta nyumba za ibada wakimtaja Mungu. Ni dhahiri Mungu wao ni shetani.
Mtakatifu Komeo la chuma utuombeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Mtakatifu Pengo, Utuombeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Mtakatifu Salum utuombeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Mtakatifu John utuombeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Mtakatifu Mufti utuombeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Mtakatifu Julius utuombeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Watakatifu wote mtuombeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
CHARMILTON

JF-Expert Member
May 30, 2015
6,736
2,000
Kuwa specific tafadhali!......Hawa wanasiasa wa sisiemu kwanzia chea wao hadi vibaraka wao wa buku 7 ni drama tupu.
Kwenye hako kakijani sioni mwenye akili hata mmoja, na ukiwa nazo basi cha moto utakiona.
 
Bowie

JF-Expert Member
Sep 17, 2016
4,031
2,000
Ndugu yangu umegusa mada muhimu sana mie binafsi l was interested in siasa but now lam no longer interested.
Bila kufuata maamrisho ya mwenyezi Mungu hakuna kitu.
God bless you
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom