Tetesi: Ni rafiki wa Mpinzani wake aliyeitwa Nyumba nyeupe kuokoa jahazi

Apson Mwangonda alikuwa confidant wa Edward Lowassa na mtu wake wa mkakati kuelekea kinyang'anyiro cha uchaguzi mkuu wa 2015.Alijionyesha wazi wakati Lowassa bado mwanachama wa CCM,wakishirikiana chini kwa chini kusuka mtandao ndani ya CCM na kukabiliana na kihatarishi cha kambi ya Kikwete ambacho walihisi kitakwamisha safari yao.Kambi ya Kikwete is typically saying Team Membe.Mwang'onda alianza kujiweka nyuma ya pazia baada ya Lowassa kwenda Chadema,which I think was their contigency plan.

Kwa hili linaolendelea linanifikirisha sana.Kwani nini JPM amekuwa anahaha kumrejesha Lowassa CCM.Amekuwa akimsifia sana.Na kitendo cha kumrecognize Apson Mwango'onda ni kunetrulize kambi na washirika wa Edward Lowassa kwa minajiri ya kuwatumia kama silaha kwenye vita yake na Membe.
Kwahiyo ile kambi iliyompa “kura za hasira” ndo anataka ihamie kwake mazima? Kaazi kweli kweli. Hili lichama likiendelea kubaki lilivyo ni Musiba kwa Taifa.
 
Kuna wabobezi wa masuala haya kama kaka yetu Evarist Chahali watadadavua tetesi tulizopata hizi

Nimepenyezewa kwamba mwaka 2015 bwana mkubwa ambaye anaongoza visiwa vya Guam alikuwa na ushindani na mmoja ambaye rafiki yake wa karibu alikuwa mkuu wa FBI ya weusi,

Leo asubuhi ameonekana viunga vya Nyumba nyeupe na lengo lilikuwa ni kutimiza wito ili kupewa majukumu ya kumaliza mchezo unaotaka kuanzishwa na mzee wa cashew nuts

Mbaya zaid kampa makaratasi yenye report fulani mzee wa Guam

Naishia hapa GENTAMYCINE
Labda nikuweke sawa uache juwapapatikia hao Tiss, hivi unajuwa kwamba Hans Kitine alikuwa ni DG wa Tiss?

Na je unajuwa ni Benard Membe ndio alimualiminate Hans Kitine kwa scandal ya kufoji risiti za matibabu ya mkewe Canada?

Acheni kuvimbisha watu mabichwa bila sababu yoyote.

Osman Rashid amekuwa DG wa Tiss na tulikuwa tunakula naye ngisi na pweza fukwe za Dar kama raia wengine tu.

Umbea nao ni ulemavu wa Taifa hili, kuonana na wastaafu mbalimbali siyo jambo la ajabu.
 
Apson ni DG wa TISS wa milele ? mbona hawaitwi waliotoka juzi ? halafu siyo smart kihiiivyoo , pamoja na JK kumbeba sana mtoto wake lakini alishindwa kumuokoa , mwisho wa siku akapigwa chini Mbeya , halafu ni mtu aliyepitwa na wakati

Hao waliotoka juzi na huyu wa sasa wote mwalimu na kubwa Lao ni Apson kwa kua wamepita kwenye mikono yake ...So most probably Mzee Apson Ana mengi zaidi ya hao unaotaka wewe waitwe
 
kama TISS ya sasa inatumia mbinu za kizamani za Apson basi labda ndio maana kila kitu tunashindwa , kuanzia makinikia hadi korosho .
 
Apson Mwangonda alikuwa confidant wa Edward Lowassa na mtu wake wa mkakati kuelekea kinyang'anyiro cha uchaguzi mkuu wa 2015.Alijionyesha wazi wakati Lowassa bado mwanachama wa CCM,wakishirikiana chini kwa chini kusuka mtandao ndani ya CCM na kukabiliana na kihatarishi cha kambi ya Kikwete ambacho walihisi kitakwamisha safari yao.Kambi ya Kikwete is typically saying Team Membe.Mwang'onda alianza kujiweka nyuma ya pazia baada ya Lowassa kwenda Chadema,which I think was their contigency plan.

Kwa hili linaolendelea linanifikirisha sana.Kwani nini JPM amekuwa anahaha kumrejesha Lowassa CCM.Amekuwa akimsifia sana.Na kitendo cha kumrecognize Apson Mwango'onda ni kunetrulize kambi na washirika wa Edward Lowassa kwa minajiri ya kuwatumia kama silaha kwenye vita yake na Membe.

mkuu sijaelewa, you meana mwang'onda, EL, membe wakiwa kambi moja wanawez kumng'oa mkuu wa nchi?

ebu achene fiction zenu hizi

How is that possible, ikitokea rais akahaha unavyosema, hawi rais tena, kuna machinery ambayo ina nguvu Zaidi yake, ipi hiyo??

kuthibitisha kuwa hao EL, membe na huyo TISS member hawakuwa na nguvu, walililolitaka mwaka 2015 halikuweza kuwa

so kuna machinery ina nguvu kubwa kuliko hao watatu

sioni swala la JPM kujikomba kwa EL hapo,
 
Ni vigumu kwa nchi za Africa kumuondoa aliyeko madarakani....mpak aamue mwenyewe...yanayotokea yanaonesha kuwa yye ndo mkuu wa nchi ana nguvu ya kumuita yyte n kumwamuru atekeleze anayotaka
Ndio maana kwa waAfrika neno maendeleo husikika zaidi redioni au kwenye TV.

Siku hizi hadi viwanda husikilizwa kwenye redio, TV na majukwaa ya kisiasa.
 
Apson Mwangonda alikuwa confidant wa Edward Lowassa na mtu wake wa mkakati kuelekea kinyang'anyiro cha uchaguzi mkuu wa 2015.Alijionyesha wazi wakati Lowassa bado mwanachama wa CCM,wakishirikiana chini kwa chini kusuka mtandao ndani ya CCM na kukabiliana na kihatarishi cha kambi ya Kikwete ambacho walihisi kitakwamisha safari yao.Kambi ya Kikwete is typically saying Team Membe.Mwang'onda alianza kujiweka nyuma ya pazia baada ya Lowassa kwenda Chadema,which I think was their contigency plan.

Kwa hili linaolendelea linanifikirisha sana.Kwani nini JPM amekuwa anahaha kumrejesha Lowassa CCM.Amekuwa akimsifia sana.Na kitendo cha kumrecognize Apson Mwango'onda ni kunetrulize kambi na washirika wa Edward Lowassa kwa minajiri ya kuwatumia kama silaha kwenye vita yake na Membe.

It makes alot of sense, Patachimbika.

2020 BM
 
Naaam, haswa upo sahihi. Hata mimi nilifikiria hivyo
 
mkuu sijaelewa, you meana mwang'onda, EL, membe wakiwa kambi moja wanawez kumng'oa mkuu wa nchi?

ebu achene fiction zenu hizi

How is that possible, ikitokea rais akahaha unavyosema, hawi rais tena, kuna machinery ambayo ina nguvu Zaidi yake, ipi hiyo??

kuthibitisha kuwa hao EL, membe na huyo TISS member hawakuwa na nguvu, walililolitaka mwaka 2015 halikuweza kuwa

so kuna machinery ina nguvu kubwa kuliko hao watatu

sioni swala la JPM kujikomba kwa EL hapo,
membe alikua decoy 2015,kitu ambacho hata mwenyewe hakujua ila hadi walipobaki watano..rejea yule ng'ombe aliyekatwa mkia alivosema wakati wanarejea zizini,kwamba wakiaminishwa ni yule,wakafanya hasira kumpigia mpakwa mafuta bila kujua
 
mkuu sijaelewa, you meana mwang'onda, EL, membe wakiwa kambi moja wanawez kumng'oa mkuu wa nchi?

ebu achene fiction zenu hizi

How is that possible, ikitokea rais akahaha unavyosema, hawi rais tena, kuna machinery ambayo ina nguvu Zaidi yake, ipi hiyo??

kuthibitisha kuwa hao EL, membe na huyo TISS member hawakuwa na nguvu, walililolitaka mwaka 2015 halikuweza kuwa

so kuna machinery ina nguvu kubwa kuliko hao watatu

sioni swala la JPM kujikomba kwa EL hapo,
Machinery gani ina nguvu kubwa mkuu acha wishful thinking!

Unasema kama wangekuwa na nguvu, basi wangepata walichotaka 2015...Hawakuwa na nguvu kwa walilolitaka 2015 kwasababu hawakuwa na nia moja, walikuwa kambi tofauti, na hasira zao ndo jiwe akapata ukuu wa nchi. Sasa wewe unaongea as if wote hao walikuwa pamoja wakipingana na jiwe!

Huo ni upotoshaji, na pia inaonyesha unaongozwa tu na mahaba.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom