britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 15,636
- 30,004
- Thread starter
- #101
WashakujaNgoja majasusi waje mkuu.
WashakujaNgoja majasusi waje mkuu.
Hajajileta wala hakusema chochote, kaitikia wito wa katibu mkuu. Hata ulipaswa umwambie bashiru aache wenge.Membe hana mpango kisiasa, anajisumbua tu na kujidhalilisha. Anaacha kujikalia huko aliko na kunya kwa starehe, anakuja kutunyea hadharani sie.
Ban ya mikutano ya kisiasa, siyo siasa pia. Ni kitu kingine tuSina hakija
Kwahiyo ile kambi iliyompa “kura za hasira” ndo anataka ihamie kwake mazima? Kaazi kweli kweli. Hili lichama likiendelea kubaki lilivyo ni Musiba kwa Taifa.Apson Mwangonda alikuwa confidant wa Edward Lowassa na mtu wake wa mkakati kuelekea kinyang'anyiro cha uchaguzi mkuu wa 2015.Alijionyesha wazi wakati Lowassa bado mwanachama wa CCM,wakishirikiana chini kwa chini kusuka mtandao ndani ya CCM na kukabiliana na kihatarishi cha kambi ya Kikwete ambacho walihisi kitakwamisha safari yao.Kambi ya Kikwete is typically saying Team Membe.Mwang'onda alianza kujiweka nyuma ya pazia baada ya Lowassa kwenda Chadema,which I think was their contigency plan.
Kwa hili linaolendelea linanifikirisha sana.Kwani nini JPM amekuwa anahaha kumrejesha Lowassa CCM.Amekuwa akimsifia sana.Na kitendo cha kumrecognize Apson Mwango'onda ni kunetrulize kambi na washirika wa Edward Lowassa kwa minajiri ya kuwatumia kama silaha kwenye vita yake na Membe.
Labda nikuweke sawa uache juwapapatikia hao Tiss, hivi unajuwa kwamba Hans Kitine alikuwa ni DG wa Tiss?Kuna wabobezi wa masuala haya kama kaka yetu Evarist Chahali watadadavua tetesi tulizopata hizi
Nimepenyezewa kwamba mwaka 2015 bwana mkubwa ambaye anaongoza visiwa vya Guam alikuwa na ushindani na mmoja ambaye rafiki yake wa karibu alikuwa mkuu wa FBI ya weusi,
Leo asubuhi ameonekana viunga vya Nyumba nyeupe na lengo lilikuwa ni kutimiza wito ili kupewa majukumu ya kumaliza mchezo unaotaka kuanzishwa na mzee wa cashew nuts
Mbaya zaid kampa makaratasi yenye report fulani mzee wa Guam
Naishia hapa GENTAMYCINE
Ila zito anashindwa hata kuficha ukachero wake
Apson ni DG wa TISS wa milele ? mbona hawaitwi waliotoka juzi ? halafu siyo smart kihiiivyoo , pamoja na JK kumbeba sana mtoto wake lakini alishindwa kumuokoa , mwisho wa siku akapigwa chini Mbeya , halafu ni mtu aliyepitwa na wakati
Uko sahihi mkuu,ndio maana jamaa haishi kumsifia EL,kambi ya EL ndio iliyombeba kura ya hasira lakini kinachotokea acha kabisa ndio maana wahenga walisema hasira hasara.Waliomweka magogoni ni kambi ya lowasa...walimpigia kura pale dodoma
kama TISS ya sasa inatumia mbinu za kizamani za Apson basi labda ndio maana kila kitu tunashindwa , kuanzia makinikia hadi korosho .Hao waliotoka juzi na huyu wa sasa wote mwalimu na kubwa Lao ni Apson kwa kua wamepita kwenye mikono yake ...So most probably Mzee Apson Ana mengi zaidi ya hao unaotaka wewe waitwe
Apson Mwangonda alikuwa confidant wa Edward Lowassa na mtu wake wa mkakati kuelekea kinyang'anyiro cha uchaguzi mkuu wa 2015.Alijionyesha wazi wakati Lowassa bado mwanachama wa CCM,wakishirikiana chini kwa chini kusuka mtandao ndani ya CCM na kukabiliana na kihatarishi cha kambi ya Kikwete ambacho walihisi kitakwamisha safari yao.Kambi ya Kikwete is typically saying Team Membe.Mwang'onda alianza kujiweka nyuma ya pazia baada ya Lowassa kwenda Chadema,which I think was their contigency plan.
Kwa hili linaolendelea linanifikirisha sana.Kwani nini JPM amekuwa anahaha kumrejesha Lowassa CCM.Amekuwa akimsifia sana.Na kitendo cha kumrecognize Apson Mwango'onda ni kunetrulize kambi na washirika wa Edward Lowassa kwa minajiri ya kuwatumia kama silaha kwenye vita yake na Membe.
Ndio maana kwa waAfrika neno maendeleo husikika zaidi redioni au kwenye TV.Ni vigumu kwa nchi za Africa kumuondoa aliyeko madarakani....mpak aamue mwenyewe...yanayotokea yanaonesha kuwa yye ndo mkuu wa nchi ana nguvu ya kumuita yyte n kumwamuru atekeleze anayotaka
Apson Mwangonda alikuwa confidant wa Edward Lowassa na mtu wake wa mkakati kuelekea kinyang'anyiro cha uchaguzi mkuu wa 2015.Alijionyesha wazi wakati Lowassa bado mwanachama wa CCM,wakishirikiana chini kwa chini kusuka mtandao ndani ya CCM na kukabiliana na kihatarishi cha kambi ya Kikwete ambacho walihisi kitakwamisha safari yao.Kambi ya Kikwete is typically saying Team Membe.Mwang'onda alianza kujiweka nyuma ya pazia baada ya Lowassa kwenda Chadema,which I think was their contigency plan.
Kwa hili linaolendelea linanifikirisha sana.Kwani nini JPM amekuwa anahaha kumrejesha Lowassa CCM.Amekuwa akimsifia sana.Na kitendo cha kumrecognize Apson Mwango'onda ni kunetrulize kambi na washirika wa Edward Lowassa kwa minajiri ya kuwatumia kama silaha kwenye vita yake na Membe.
Sio hakuwa na jinsi ujinga wake ndio ulimponza angemwacha eddo tu kwenye tano bora aiingie tusingefika hapa.Rudia tena,
Kikwete alikua imara Membe asifanikiwe?
Nikuambie tu kua kilichotokea 2015 hata JK hakukifurahia, ni vile tu hakua na jinsi ingine.
Naaam, haswa upo sahihi. Hata mimi nilifikiria hivyoApson Mwangonda alikuwa confidant wa Edward Lowassa na mtu wake wa mkakati kuelekea kinyang'anyiro cha uchaguzi mkuu wa 2015.Alijionyesha wazi wakati Lowassa bado mwanachama wa CCM,wakishirikiana chini kwa chini kusuka mtandao ndani ya CCM na kukabiliana na kihatarishi cha kambi ya Kikwete ambacho walihisi kitakwamisha safari yao.Kambi ya Kikwete is typically saying Team Membe.Mwang'onda alianza kujiweka nyuma ya pazia baada ya Lowassa kwenda Chadema,which I think was their contigency plan.
Kwa hili linaolendelea linanifikirisha sana.Kwani nini JPM amekuwa anahaha kumrejesha Lowassa CCM.Amekuwa akimsifia sana.Na kitendo cha kumrecognize Apson Mwango'onda ni kunetrulize kambi na washirika wa Edward Lowassa kwa minajiri ya kuwatumia kama silaha kwenye vita yake na Membe.
membe alikua decoy 2015,kitu ambacho hata mwenyewe hakujua ila hadi walipobaki watano..rejea yule ng'ombe aliyekatwa mkia alivosema wakati wanarejea zizini,kwamba wakiaminishwa ni yule,wakafanya hasira kumpigia mpakwa mafuta bila kujuamkuu sijaelewa, you meana mwang'onda, EL, membe wakiwa kambi moja wanawez kumng'oa mkuu wa nchi?
ebu achene fiction zenu hizi
How is that possible, ikitokea rais akahaha unavyosema, hawi rais tena, kuna machinery ambayo ina nguvu Zaidi yake, ipi hiyo??
kuthibitisha kuwa hao EL, membe na huyo TISS member hawakuwa na nguvu, walililolitaka mwaka 2015 halikuweza kuwa
so kuna machinery ina nguvu kubwa kuliko hao watatu
sioni swala la JPM kujikomba kwa EL hapo,
Kaandika kama Ayi Kwei Armah.Unaandika kama wole Soyinka
Machinery gani ina nguvu kubwa mkuu acha wishful thinking!mkuu sijaelewa, you meana mwang'onda, EL, membe wakiwa kambi moja wanawez kumng'oa mkuu wa nchi?