Ni psychological problem au nature au ni kawaida? Msaada jamani

navigator msomi

Senior Member
May 8, 2018
145
155
Naomba niende moja kwa moja kwenye point....Mimi ni kijana mwenye umri kati ya miaka 25-27.

Nina shida moja kama siyo tatizo ambalo linanisumbua sana na ningependa kama kuna uwezekano niachane nalo kabisa japo nimejarb lakini nimeshindwa kwa mimi kama Mimi..

Nimekua na woga sana kama siyo hofu kiasi kwamba mbele za watu hasa ambao sijazoeana nao kwa mda mrefu..kwa mfano nimeajiriwa katika taasisi fulani yapata miezi mitatu tangu niajiriwe, lakini shida inakuja kama wenzangu wakiwa wanapiga story naogopa hata kuchangia.

Kwenye vikao vya ofisini ndio kabisa siwezi hata sema neno...hii imenisababishia mpaka najiona siwezi chochote....na nimekua mtu wa kukubali kila hoja itolewayo...yaani kama tunazungumzia kitu flani na watu wanachangia maada akiongea mtu yeyote Mimi hua naona yuko sahihi hata kama wenzangu watapinga..

Na akitokea mwingine akapinga yule wa mwanzo pia ninamuona tena huyu yuko sahihi...kiufupi nimekua cyo mtu wa msimamo..

Hali hii inanifanya hata hapa nilipo nishindwe kutembea nje..nimekua mtu wa ndani mda wote....

Ila cha kushangaza nataman sana kuwa msemaji mkuu kwa kila jambo tatizo nakua mzito kwa kila kitu..

Pia kingine kinachonishangaza kama mtu nimemzoea sana hua nakua huru kwa kila kitu..kwa mfano mwanamke wangu wangu hua nafanya vitu mpaka hunishangaa..husema "hivi huyu ndio ww kweli"..

Sasa wakuu nimekuja kwenu kuomba msaada kipi nifanye ili niweze ondokana na hii hofu maana nahisi inani athiri kisaikorojia.
 
Hilo tatizo linatokana na msongo wa mawazo man...punguza kuwaza sana and sometymz fanya mazoez ya mwili..me nahic itakusaidia

simple....tafuta kioo kaa chumbani pekeako kisha ongea mfululizo maneno yoyote yale kwa muda wa dk 10-15. kila siku asbh na jion . trust me utakuwa bora . pia jichanganye na watu wapya kila siku na jaribu kuongea neno yaan usitoke bila kuchangia kitu. fikirisha akili yako .
 
Ulilelewa na wazazi/mzazi wakali sana
ambao walikuwa chochote wanachosema huruhusiwi kupinga wala kujadili
na ukionesha kupinga tu cha moto unakiona so ili uwe safe ulikuwa unakubali tu
ili kuepusha shari..

kwahiyo sasa unaogopa tu watu kukuchukia ukipinga kitu
unataka sana kupendwa na kila mtu
 
Naomba niende moja kwa moja kwenye point....Mimi ni kijana mwenye umri kati ya miaka 25-27.

Nina shida moja kama siyo tatizo ambalo linanisumbua sana na ningependa kama kuna uwezekano niachane nalo kabisa japo nimejarb lakini nimeshindwa kwa mimi kama Mimi..

Nimekua na woga sana kama siyo hofu kiasi kwamba mbele za watu hasa ambao sijazoeana nao kwa mda mrefu..kwa mfano nimeajiriwa katika taasisi fulani yapata miezi mitatu tangu niajiriwe, lakini shida inakuja kama wenzangu wakiwa wanapiga story naogopa hata kuchangia.

Kwenye vikao vya ofisini ndio kabisa siwezi hata sema neno...hii imenisababishia mpaka najiona siwezi chochote....na nimekua mtu wa kukubali kila hoja itolewayo...yaani kama tunazungumzia kitu flani na watu wanachangia maada akiongea mtu yeyote Mimi hua naona yuko sahihi hata kama wenzangu watapinga..

Na akitokea mwingine akapinga yule wa mwanzo pia ninamuona tena huyu yuko sahihi...kiufupi nimekua cyo mtu wa msimamo..

Hali hii inanifanya hata hapa nilipo nishindwe kutembea nje..nimekua mtu wa ndani mda wote....

Ila cha kushangaza nataman sana kuwa msemaji mkuu kwa kila jambo tatizo nakua mzito kwa kila kitu..

Pia kingine kinachonishangaza kama mtu nimemzoea sana hua nakua huru kwa kila kitu..kwa mfano mwanamke wangu wangu hua nafanya vitu mpaka hunishangaa..husema "hivi huyu ndio ww kweli"..

Sasa wakuu nimekuja kwenu kuomba msaada kipi nifanye ili niweze ondokana na hii hofu maana nahisi inani athiri kisaikorojia.
MKUU ACHA KUPIGA NYETO
 
Pole sana mkuu hiyo kwa Haraka haraka umekuwa kwenye mazingira uliyokuwa umebanwa sana ulikuwa hupati nafasi ya kucheza na watoto wenzio ikiwemo michezo kama mpira/kombolela nk
Pia hii ndio maana tunawashauri wazazi waakikishe mtoto anapata muda wa kuchanyika na wenzie hapa atapata uwezo wa kubishana na wenzie kwa mambo yeyote.

Mkuu kwa ufupi naona we si mtu wa kufuatilia mpira/habari ambalo wengi hupata story nyingi na kuweza kupiga na kudanganya hivi na kule.

Anza kwa kuwa mfatiliaji wa habari kuweza kuongeza uwezo wa kuzungumza mada mbali mbali

Jichanganye kwenye mikusanyiko kama watu wanaoenda kuangalia mpira huko pia utaweza kuanza kujenga kuwa ns uharaka wa kutengeneza marafiki na Ujasiri wa kuongea na watu usiowafahamu.

RAHI KWA WAZAZI
Mzazi Mpe mwanao wakati wa kucheza na wenzie huko ndiko anajenga confidence ya kuongea kupambana na hoja kwa muktadha inayomzunguka si kimletea PS Video games hizo zinapunguza uwezo kwa mwanao.

Usikasiri mwanao akianza kufatilia na kushangilia team za mpira kisa utaona kutapunguza uwezo kwenye academic matters
 
Hilo tatizo linatokana na msongo wa mawazo man...punguza kuwaza sana and sometymz fanya mazoez ya mwili..me nahic itakusaidia
Hakika hata kusoma hujasoma maelezo yake. Msongo wa mawazo au aibu wapi na wapi? Jamaa ana aibu na hana msongo wa mawazo. Ni wewe tu kujiamini na kuanza kuchangia kidogo kidogo.Kwa uzoefu wangu watu wengi wanaoongea sana kwenye makundi huwa wala hawaongei mambo ya maana. Pa kuanzia: Tafuta topic unayoifahamu kwa undani na wakati mkiwa kwenye mazungumzo ya kawaida jaribu kuinza. Wenzako wanapofanya mchango jaribu kuwa-challenge kwa kutumia ule upeo wako kwenye topic. Kidogo kidogo utazoea.
 
Mkuu hilo siyo tatizo iyo ni haiba,wewe ni mkimya kama mimi tu tofauti ni kwamba mimi nimepata solution mda mrefu tu nimejikita kwenye kuchakata papuchi,wewe tafuta kitu kitajachikuweka sawa kwamfano uwe shabiki wa yanga then tafuta kijiwe cha kahawa ua bodaboda uwe unabishana hapo,au uwe team kiba tafuta wanazi wa domo uwe unabishana nao sana ndani ya wiki 1 tu utaona mabadiliko
 
Ni tatizo kubwa kwani ata umri wako unashindwa kutaja unasema 25-27. Hapo upo peke yako na simu Tu.
 
Uko sahihi kabisa
Ulilelewa na wazazi/mzazi wakali sana
ambao walikuwa chochote wanachosema huruhusiwi kupinga wala kujadili
na ukionesha kupinga tu cha moto unakiona so ili uwe safe ulikuwa unakubali tu
ili kuepusha shari..

kwahiyo sasa unaogopa tu watu kukuchukia ukipinga kitu
unataka sana kupendwa na kila mtu
 
Jisikie poa tu kwa hali uliyonayo ndugu...nothing wrong, lakin ninachokiona ndani ya moyo wako we we ni muongeaji sana na pia ni jasir kuliko unavyojidhania,
Up and Down...take easy!
 
Back
Top Bottom