Ni pombe gani huwa inakupa mzuka na kuona Dunia ni sehemu salama?

Konyagi maana unaanza kukumbuka mabibi/mashangazi waliokufa au vibuti halafu unalia weeeee.....baadae unapigana ukiamka kesho yake una majeraha kila mahali na hujui uko wapi...
Hahaa juzi weekend nimetoka kupigana, kila nikinywa k vant au konyagi ndogo mbili, na bia nne au tano lazima hapo kuna ugomvi nampango nizipige kapuni pombe kali
 
hahaa kwel kwel mim nikiwa getto napenda sana kunywa spirit nikichanganya na Pepsi yangu afu niko na kitu moja Og safi nakula mziki wangu getto safi kabisa.
Sema nishazoea make ni maisha naishi kalibia baada ya siku tatu.

Lkn nikiwa nimetoka sehemu napenda kunywa zangu safari fresh na fegi kidogo za kuudanganya ubongo kwamba nikitu.
ganja vipi?
 
PAPUCHI tu ndio kilevi bora kwangu, lakin hivyo vingne nataka niviache maana nikilewa et ndo uwa naanza kutafakari maumivu yote niliyofanyiwa nyuma
 
GUINESS NA CASTLE MILK STOUT

Yaani nikose hela ya kununua magari, viwanja, mjumba n.k nikose na ya kunywa vizuri vizuri Beer, K vant, Konyagi, wine na whiskey eti niogope kitambi.... kwendaaa huko
Umenikumbusha mdada hapa kitaa mlevi balaa

Basi utasikia " nimekosa hela ya kununua gari, nyumba hata ya bia nikose? Haiwezekani,"

Basi full kulewa daily
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom