Ni pombe gani hutakuja kuisahau maishani mwako?

Grants sigusi tena mdomoni, Siku moja nilipiga grants kwa Fujo nilikuwa mgeni nayo tena mchana jua linawaka aisee ile kufika saa moja jioni hata kuinua mguu siwezi kuna demu alikuwa ananiokoa sana nkamcheki haraka kisha nkalalia ile meza tulikuwa watatu pale wenzangu pia wako vyombo, Demu alifika haraka na kuita uber mpaka geto aisee nilikuwa napiga kelele kama mbuzi ndani hapakaliki nkamuambia nitoe nje na nimwagie maji alifanya ivo then nkarudi Bafuni na kufungulia bomba la mvua kama lisaa ivi ndo nkapata relief, Hangover yake ilinitesa wiki nzima toka apo Grants naingalia kwa mbali mi ni mpenzi wa pombe kali ila Grants imenigomea aisee
 
Nmecheka balaa eti ulikua unalia kama mbuzi haaaaaah
 
Kuna siku nilikua bar, Mimi peke yangu ndo nilikua nakunywa safari alaf nilikua nimekaa mwenyewe. Kuna demu alikua ananipimia kweli, alafu demu mwenyewe ni mrefu wa wastani alafu black beauty. Wakati naendelea kushushia Safari yangu yule demu akanifata kwenye meza yangu, tukasalimiana pale, akaniuliza "naruhusiwa kukupa kampani" nikamwambia bila shaka. Akaniuliza "unatumia tu safari?" Nikamjibu ndio. Basi akaita waiter akamwagiza kreti ya safari.
Kilichotokea *******
 
Kuna pombe flani iko na rangi nyeupe kikopo chake kina mfuniko mwekundu nilikunywa mtwara uko, inatoka msumbiji

Ile pombe harufu yake tu unalewa upya na inachefua, tulikuwa mimi na mchizi wangu na mabinti wawili wa chuo cha stella marris tulipanga tunapiga vitu halafu tumalizie na show piga nyagi iyo pombe mixer li wisk flani lina 2keys

Kilichotokea tulilala usingizi mzito kushtuka kila mmoja wetu anatapika, upande wake maana tulikuwa geto mitaa ya ligula, aibu na show aikupigika
 
Zanzibar pamekera saana, Sasa hivi uruhusiwi kula Wala kunywa mchana.

Sasa hivi nna kiu na pombe Hadi kesho napanda boti nije Dar Nije zangu Tungi Hadi balaa... Natandika Safari lager Kama fundi mageti vile.
 
Fundi mageti
 
Kama miaka sita nyuma nilikata nyagi vile visichana vya kutosha kuna dada nilimwita kutoka tabata mpaka lachaaz nilienda kujisaidia mara nikazima chooni bahati nzuri nilijifungia ndani,

Nyingine ni smirnoff bhn pale Meridian club masai hii ilinifanya nikatapika kitandani hii nimepiga chini

K vant ishawai kunifanya nimtapikie mwanamke wakati tunatiana nimeipiga chini nayo

Kuna siku nilikunywa Guinness nikapiga jermston sijui kama sawa nikapiga vodka pale boardroom hahaha niliamka na hang over ya hatari japo japo nilitapika kidogo

Kitu nilichonote pombe haitaki joto aisee ukinywa pombe hasa hizi whyskey, vodka na spirit make sure kuwa unakaa sehemu yenye baridi inasaidia kutokutapika now napiga beers tu sana sana natumia serengeti lager now
 
Zanzibar pamekera saana, Sasa hivi uruhusiwi kula Wala kunywa mchana.

Sasa hivi nna kiu na pombe Hadi kesho napanda boti nije Dar Nije zangu Tungi Hadi balaa... Natandika Safari lager Kama fundi mageti vile.
Hahahaha zenji had dar kisa pombe dah😆😆!nakuwazia sipati picha...mm pombe kwasasa big no nainywa kwa nadra mnoo....nataman niache tu nitafte starehe nyingine! Nataman kuwa na mziki mziiito kwa🚗 walau niwe nakula vibes tu
 
Umesema kweli ndugu, hizi spirit hazitaki makeke na mikelele ukitaka upate uhondo wake kunywa sehemu tulivu
Wengi naona wanapondea kinywaji changu pendwa kvant.....kvant haitaki spidi na haitaki kelele yan ukiwa unaigonga kwanza uwe umekula vyema na pili kaaa sehem tulivu hata kama mko wengi msiweke muziki kwa sauti kubwa pia ukiinywa usiongeee ongeee sana huwa inapanda kwa kasi.nakumbuka mwaka 1998 nlilazwa hospital baaada yakunywa viroba 10 vya konyagi
 
Nipo hapa nataka nione kitatokea nini
IMG_20210416_142256.jpg
 
Jamaa muongo sana ww amarula kama maziwa ukichanganya na k vant,konyag au vodka yyte lazima ikatike maana unakua unatengeneza bomu
Achana na tabia ya kumuita mtu muongo ilihali huna ushahidi na uongo wake. Wanaume hatufanyi hivyo. Amarula unaweza ukachanganya na pombe kali unavyotaka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom