Ni pointless kutaka kuwa 'donor country' huku ukiwa katika lindi la ujinga

Capital

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
1,452
1,038
Kuna huyo mkuu wa nchi ya Tripolitania ambaye siku hizi amegeuka kuwa movi star kwa kutaka kuonekana kwenye tv kila siku.. anasema eti hiyo Tripolitania yaweza kuwa donor country.. yaani yaweza kutoa misaada kwa nchi nyingine

Yumkini huyu mkuu wa nchi ni mzushi tena muongo wa wazi mchana peupe. Kwa hali ilivyo.. Itaichukuwa Tripolitania si chini ya miaka 500 kufikia uchumi kama wa Italia na si chini ya miaka 800 kufikia uchumi kama wa Japan. Mkuu wa Tripolitania anapotosha sana.. nafikiri kwa kutojuwa.. nitamsamehe kwa hilo.

Leo hapa nataka nimkate shule kidogo kuhusu kinachotakiwa kufanywa Tripolitania ili ifikie ndoto zake za alinacha za kuwa donor country..

1. Wananchi walioelimika kwa mapana na marefu yote.. hiki ni kianzio muhimu sana.. hutaweza kufikia ndoto yako wakati hujawekeza katika mifumo ya kuwawezesha wana tripolitania kupata elimu stahiki..
2. Utawala wa kisasa
Huwezi kufikia ndoto ya kuwa donor country wakati muda wote unafikiri kuteka, kuuwa wananchi kwa visa na hila..

3. Katiba
Katiba ya hiyo nchi bila shaka ni mbaya kuliko ktiba za nchi zote duniani.. yaani ya hovyo..

Hizo nchi ambazo ni donor coutries ziliweka sawa hayo mambo matatu kitambo sana.. Kuwa na madini au misitu au mali asili zingine havitoshi kuwa na ndoto za kuwa donor country.

Mkuu wa Tripolitania acha uongo, zungumza kingine lakini siyo swala donor country..

Sorry Tripolitania
 
Kama unaachia madini yanachukuliwa na wazungu, wanauza halafu wanakuletea vyandarua vya mbu nani ni donor country? Elimu yetu ina shida, maana hata hili limekushinda kung'amua?
 
kwa hiyo Tanzania ni donor country kwa kuwa inatoa madini halafu wale ni maskikini wanatuletea vyandarua au sijaelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
No.2

Huo ndiyo ujinga aliotuletea kutoka zile nchi mbili
Uongozi wao ni wa kuteka, kuua kitu ambacho Kwa sasa kimeingia Tripolitania.

Chuki hii itasambaa na hii haitaacha salama Tripolitania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha mbona wapo walioelimika lakini bado tuko palepale au ndio maana anaajiri PhD tupu?! Yani nyie mnataka nchi nzima tusome, nani atalima?! Mliosoma mnatosha ifanyeni nchi iwe donor country. Mta donate nini kama hadi sisi wakulima mnataka tusome?!
 
Nanyi tafuteni elimu ya kilimo ni muhimu sana kuelewa kwa mapana unalo lifanya.
 
Wakisikia donor country Lumumba wanapiga vigelegele kweli.Ndoto zingine za Lumumba hata za alinacha zinanafuu.Donor country bila mipango ya muda mrefu ,kati ,na mfupi.
 
Kama unaachia madini yanachukuliwa na wazungu, wanauza halafu wanakuletea vyandarua vya mbu nani ni donor country? Elimu yetu ina shida, maana hata hili limekushinda kung'amua?
kwanini wewe ume 'donate' hayo madini?
 
Hahaha mbona wapo walioelimika lakini bado tuko palepale au ndio maana anaajiri PhD tupu?! Yani nyie mnataka nchi nzima tusome, nani atalima?! Mliosoma mnatosha ifanyeni nchi iwe donor country. Mta donate nini kama hadi sisi wakulima mnataka tusome?!
Ni nani kakudanganya kuwa mkulima hatakiwi kusoma? Mkulima mbumbumbu ataweza kulima mazao ya kupeleka Japan au UK? Hebu kuwa serious na maandiko yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyerere alisema tuna maadui 3 Ujinga, Umaskini na Maradhi, mpaka leo hii hatujafanikiwa kumshinda hata mmoja wao, sasa sijui ni lini tutaanza kusaidia wengine.
 
Nchi kuwa Donor Country lazima iwe vizuri kweli kweli kiuchumi sio lelemama tu. Kwa nchi hii inabidi isubiri sana labda kuwa Donor Country kwa kupeleka maliasili zetu kwenda nchi zisizo na Maliasili.

Sent from my SM-J530F using Tapatalk
 
Nadhani mtoa post hukumwelewa Rais wako.

Aliposema nchi yenu itakuwa "donor country" alimaanisha "dona ya ugali". Hivyo nchi yake itakuwa ni " nchi ya ugali mwingi wa dona" kama ilivyo kule Sukumaland.

Sina mbavu 😁😁😁😂😂
 
Back
Top Bottom