Dom nimeziona sana boxer na huko habari za kubeba magunia ya viazi najua sio sana itakufaa hiyo au Tvs.Dodoma
Habari zenu wakuu,
naomba kujua pikipiki nzuri kwa ajili ya boda boda nahitaji kununua pikipiki used nijaribu biashara ya bodaboda
vipi bei yake ikojeMkuu kwenye mishe ya pesa huwa hatujaribi bali tunafanya hivyo Kama unataka kujaribu basi game itakushinda.
Kama unataka kufanya boda chukua
TVs hlx 150 x mdomo wa mamba.
Kwanza ina sofa nzuri na pia ipo juu na kufanya wateja wengi kupenda kuipanda.
Mafuta unatembea 50km kwa litre
2680000, chombo bora ila nje ya mji sidhani kama utafurahia, huko upate t better, san lg, fekon utafurahiavipi bei yake ikoje
Kuna Tvs ambazo zina bei zaidi ya boxer na zipo ambazo ziko chini ya boxer ila boxer kwa sehemu niliyopo mil 2.4 unachukua mpyaa.shukrani mkuu,
kati ya boxer na Tvs ipi bei iko juu?
San lg simshauri atakuwa analala hoi ataishia kusingizia wachawi wanamlimisha usiku.2680000, chombo bora ila nje ya mji sidhani kama utafurahia, huko upate t better, san lg, fekon utafurahia
Kwa hiyo chuma alosema jamaa kwa hiyo bei blaza kupata ni ngumu na hata ukiipata lazma itakuwa ya wizi au ina historia ya ajali na inatafuta pakufia maana hazina muda sana sokoni.bei imechangamka sana bajeti yangu ni 1M naweza pata used?
Wapi huko nije nichukue boxer 150 extraKuna Tvs ambazo zina bei zaidi ya boxer na zipo ambazo ziko chini ya boxer ila boxer kwa sehemu niliyopo mil 2.4 unachukua mpyaa.
Moro kwa mke wa BM pale Masika.Wapi huko nije nichukue boxer 150 extra
Ukijumlisha usajili na bima inafika shilingi ngapi?Moro kwa mke wa BM pale Masika.
Shukrani nitatembelea hapoUsajili ilikuwa gharama iliyoko kwenye bei ya pikipiki ila bima sikukata mkuu japo palepale pembeni ya ofisi yake kuna ofisi ya bima.