Paul Alex
JF-Expert Member
- Jul 14, 2012
- 4,342
- 9,824
Mheshimiwa rais alisema watanzania tunapoteza muda mwingi kujadili personalities kuliko maendeleo.
meaning of personality
a. The totality of qualities and traits, as of character or behavior, that are peculiar to a specific person. See Synonyms at
disposition.
b. The totality of behavioral traits that are peculiar to a specific nonhuman animal: a hyena with an assertive personality.
c. The totality of qualities that distinguish a group, organization, or place: The personality of the business changed dramatically over the years.
Wadau nadhani ni muhimu kujua idadi ya 'watu' ambao sisi 'watanzania' tunawajadili, tujue ni kina nani, wanaangukia kwenye kundi la watu gani, kwanini tunawajadili?
Ili tujiridhishe kama mjadala wao una faida au la! kama hauna faida tuwateme, tujadili 'maendeleo ' kama anavyotupangia rais, yeye ambaye hapangiwi.
Wadau, ni kina nani hao tunaojadili personalities zao mpaka tunashindwa kujadili maendeleo? Tunashindwa hata kuangalia Shilawadu kama mheshimiwa?
Nashauri tumalize hii hoja na tuifunge ili baada ya hapa tuweze kujadili maendeleo.