Ni pale Waziri Mkuu wako anapopewa pikipiki 44 na ushtuki

Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
33,710
2,000

UNDENIABLE

JF-Expert Member
Feb 26, 2013
2,303
1,500
Wajameni sisi Watanzania aliyeturoga ameshafariki maana kwa akili za kawaida nilitegemea watu kuhoji je hii zawadi nono kwa Mh wetu inatokana na nini na kama anapewa kama kiongozi wa serikali je kwa nini zawadi hii isiende hazina? Kuna usalama kweli kwa hili au ndo katika ule mwendelezo wa chukua nipate wa Wachina kwetu sisi mazumbukuku?

http://www.dailynews.co.tz/index.php/local-news/26243-pm-receives-44-donated-motorcycles-from-china
Naiona uzalendo wako kwa taifa lako. Bahati mbaya ni kuwa unalia ukiwa baharini kila akutazamae anaona majimaji machoni pako na kuhisi ni maji ya bahari, hata wekundu wa jicho lako wanaona ni jicho linakabiliana na maji ya chumvi! Pole sana!
 
mwangalizi

JF-Expert Member
Apr 24, 2012
787
500
Wajameni sisi Watanzania aliyeturoga ameshafariki maana kwa akili za kawaida nilitegemea watu kuhoji je hii zawadi nono kwa Mh wetu inatokana na nini na kama anapewa kama kiongozi wa serikali je kwa nini zawadi hii isiende hazina? Kuna usalama kweli kwa hili au ndo katika ule mwendelezo wa chukua nipate wa Wachina kwetu sisi mazumbukuku?

http://www.dailynews.co.tz/index.php/local-news/26243-pm-receives-44-donated-motorcycles-from-china

Lugha nadhani tatizo kwako! Kipi cha ajabu hapo?
 
mahoza

JF-Expert Member
Mar 11, 2012
1,248
2,000
Mimi nauliza kwanini zisigawanywe sehemu mbalimbali ziende Katavi tu. Si wangeshare hata na mikoa jirani?
 
Getstart

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
6,663
2,000
Kwani sheria ya maadili inasemaje kuhusu zawadi kwa viongozi? Bahati mbaya sasa nchi iko preoccupied na masuala mawili Zitto na kufukuzwa kwa mawaziri sababu ya madhara ya otu.
 
Ndikwega

JF-Expert Member
Feb 1, 2012
5,870
2,000
Ukweli ni kuwa hawa magamba wanatuuza kwa ngozi nyeupe hiyo kwepeeee! Mikataba ile 17 aliyosaini Jakaya na Shi jing Pii tunataka tuione sisi kama wadau wa nchi hii,kinyume na hapo hatuna imani na wachina pia serikali hii ya magamba wakiongozwa na gamba kuu la mamba mkuu wa kaya.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom