Ni okosefu wa adabu kumfananisha Mandela na dk. Slaa

Status
Not open for further replies.

scatter

JF-Expert Member
Feb 15, 2013
1,667
925
wakuu watanzania wenzangu tuacheni mawazo mgando kumfananisha dk. Slaa na marehemu madiba tunamkosea adabu kabisa
acheni siasa chafu
 
Acha ujinga wewe, ni wapi walimfananisha na Mandela? au ndo unatala Ligi humu, acha ujinga kama huna cha kuandika ni bora ukabakia kuwa msomaji kuliko kupost ujinga
 
kuna nyuzi nimepita huko nimeyakuta haya usidhani nimekurupuka!
 
wakuu watanzania wenzangu tuacheni mawazo mgando kumfananisha dk. Slaa na marehemu madiba tunamkosea adabu kabisa acheni siasa chafu
Sasa ni nani anayekosewa adabu? Hayati Mandela au Dr. Slaa? But whatever it 's, I'd simply tell you; ndugu yangu, ya nini kujishughulisha na mambo madogo madogo yasiyofika japo robo kisado?! Mambo mengine ni ya kuyapotezea tu!! Ni ushauri tu; u can take it or leave.
 
Slaa amesema mfumo wa Tanzania ni sawa na apartheid which de facto means kwamba na yeye anajiona Mandela!
 
Sasa ni nani anayekosewa adabu? Hayati Mandela au Dr. Slaa? But whatever it 's, I'd simply tell you; ndugu yangu, ya nini kujishughulisha na mambo madogo madogo yasiyofika japo robo kisado?! Mambo mengine ni ya kuyapotezea tu!! Ni ushauri tu; u can take it or leave.

mandela ndio aliyekosewa kwa majitu yanayoshabikia siasa chafu
 
Sioni ubaya wa kuwafananisha, acheni ushabiki kwani Mandela lianzaje? hata naye alidharaulika nakudharauliwa na wanaomsifia leo.
R I P madiba.
 
Dhambi sana hiyo......tena anayesema hivyo alaaniwe ,mandela(rip) hajawahi kuachanisha ndoa ya mtu wowote hadi amekufa,tofauti na babu slaa na mchumba waka j mashumbusi,BABU SLAA AMEWAHI KUFUKUZWA KANISANI KWA KUKOMBA RUZUKU NA KUSHINDWA WITO
 
r.i.p madiba

dk. Yupo sehemu nzuri tofouti na madiba ndugu
 
Dhambi sana hiyo......tena anayesema hivyo alaaniwe ,mandela(rip) hajawahi kuachanisha ndoa ya mtu wowote hadi amekufa,tofauti na babu slaa na mchumba waka j mashumbusi,BABU SLAA AMEWAHI KUFUKUZWA KANISANI KWA KUKOMBA RUZUKU NA KUSHINDWA WITO
Mbona kanisa lilikanusha haya majungu yako ya kitoto!
 
Mimi ndiye niliyemfananisha DR SLAA NA MANDELA na niko tayari kutetea hoja yangu , kama unadhani nilikuwa nafananisha sura au umri wao utakuwa umeboronga sana ! Wawili hawa wanafanana katika harakati zao za kuleta ukombozi halisi kwenye nchi zao .
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom