wakuu watanzania wenzangu tuacheni mawazo mgando kumfananisha dk. Slaa na marehemu madiba tunamkosea adabu kabisa
acheni siasa chafu
watu tangu waijue siasa chafu ni kuropoka ropoka tu!
Mnalipwa?
Sasa ni nani anayekosewa adabu? Hayati Mandela au Dr. Slaa? But whatever it 's, I'd simply tell you; ndugu yangu, ya nini kujishughulisha na mambo madogo madogo yasiyofika japo robo kisado?! Mambo mengine ni ya kuyapotezea tu!! Ni ushauri tu; u can take it or leave.wakuu watanzania wenzangu tuacheni mawazo mgando kumfananisha dk. Slaa na marehemu madiba tunamkosea adabu kabisa acheni siasa chafu
Sasa ni nani anayekosewa adabu? Hayati Mandela au Dr. Slaa? But whatever it 's, I'd simply tell you; ndugu yangu, ya nini kujishughulisha na mambo madogo madogo yasiyofika japo robo kisado?! Mambo mengine ni ya kuyapotezea tu!! Ni ushauri tu; u can take it or leave.
Weka link ya hizo nyuzi tuzisome wenyewekuna nyuzi nimepita huko nimeyakuta haya usidhani nimekurupuka!
Kwanini hukujibia hukohuko ulikoikuta?kuna nyuzi nimepita huko nimeyakuta haya usidhani nimekurupuka!
Mbona kanisa lilikanusha haya majungu yako ya kitoto!Dhambi sana hiyo......tena anayesema hivyo alaaniwe ,mandela(rip) hajawahi kuachanisha ndoa ya mtu wowote hadi amekufa,tofauti na babu slaa na mchumba waka j mashumbusi,BABU SLAA AMEWAHI KUFUKUZWA KANISANI KWA KUKOMBA RUZUKU NA KUSHINDWA WITO