Ni okosefu wa adabu kumfananisha Mandela na dk. Slaa

Status
Not open for further replies.
Huna , hujawahi na wala hutakuja kuwa na mamlaka ya kunikataza kutoa maoni yangu , wala hukuwa na haja kufungua uzi mpya kuhusiana na hili , ungekuja kulekule nilikoanzia , NAKUPA ONYO USIINGILIE UHURU WANGU WA MAWAZO , LAITI KAMA UNGEJUA SABABU ZA MANDELA KUFUNGWA MAISHA , BILA SHAKA UNGENIUNGA MKONO .

mkuu hata kama unapotea hatuwezi kuacha ukapotea na wengi ni bora tukusahihishe kwanza kabla ya kukuacha katikati ya bahari uliwe na nyangumi
 
Dhambi sana hiyo......tena anayesema hivyo alaaniwe ,mandela(rip) hajawahi kuachanisha ndoa ya mtu wowote hadi amekufa,tofauti na babu slaa na mchumba waka j mashumbusi,BABU SLAA AMEWAHI KUFUKUZWA KANISANI KWA KUKOMBA RUZUKU NA KUSHINDWA WITO

lete ushahidi .
 
wakuu watanzania wenzangu tuacheni mawazo mgando kumfananisha dk. Slaa na marehemu madiba tunamkosea adabu kabisa
acheni siasa chafu


Mbona Ndugai kawafananisha wabunge wa CCM na majibwa koko haujaanzisha sredi?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom