Ni official sasa baba Morgan nimefulia(broke) baada ya miaka 4 ya ungaunga mwana

maji ya gundu

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
2,557
2,000
Ni rasmi Sasa Mimi Baba Morgan na familia yangu tunaanza Safari rasmi ya kurejea kijijini (tumerudisha mpira kwa kipa) ni baada ya kushindwa kuhimili gharama za msingi za maisha na kuwa mdaiwa sugu hapa mjini kaskazini mwa Tanzania.

It's so sad ila sina budi ndo option pekee iliyobaki lawama zangu zote ni kwa serikali ya CCM kwa kunipa kesi ya uhujumu uchumi na Kufanya Takukuru kuniandama Kila napopata shavu jipya.

Nipende kusema Kama Kuna mkono wa mtu ulioshiriki kunifanya Mimi kuona hii dunia chungu mpaka kufikia uamuzi wa kurudi kwetu Namtumbo, nakumbusha kuwa karma is real pain nayopitia Mimi kwake itakuwa 100 times.

Mwisho mnaobaki mjini muishi kwa akili na tahadhari kurudi kijijini sio easy decision.

Cheka uchafu sio kilema.

From Northern part of Tanzania.
sema apo ungeikimbiza familia afu we ujipe mwaka mmoja wa kupambana uone lfe ltaendeaje
 
Majoajosh

JF-Expert Member
Nov 20, 2020
270
250
Ni rasmi Sasa Mimi Baba Morgan na familia yangu tunaanza Safari rasmi ya kurejea kijijini (tumerudisha mpira kwa kipa) ni baada ya kushindwa kuhimili gharama za msingi za maisha na kuwa mdaiwa sugu hapa mjini kaskazini mwa Tanzania.

It's so sad ila sina budi ndo option pekee iliyobaki lawama zangu zote ni kwa serikali ya CCM kwa kunipa kesi ya uhujumu uchumi na Kufanya Takukuru kuniandama Kila napopata shavu jipya.

Nipende kusema Kama Kuna mkono wa mtu ulioshiriki kunifanya Mimi kuona hii dunia chungu mpaka kufikia uamuzi wa kurudi kwetu Namtumbo, nakumbusha kuwa karma is real pain nayopitia Mimi kwake itakuwa 100 times.

Mwisho mnaobaki mjini muishi kwa akili na tahadhari kurudi kijijini sio easy decision.

Cheka uchafu sio kilema.

From Northern part of Tanzania.
Nakutakia kila la heri kiongozi,njia zikakufungukie,uje ulete mrejesho wa mafanikio,penye Nia pana njia,pambana mkuu
 
the12bdi

JF-Expert Member
Oct 12, 2018
493
1,000
Kipa ana control lakini kama Hana piga chenga nenda mbele! Kila la heri na pambana!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom