Ni nuksi ama bahati

Truth will Remain

JF-Expert Member
Jan 29, 2013
254
126
Nimekuwa nikipendwa ama kutakwa na wake ama wapenzi za watu

nimekuwa nikiwakimbia ila mh!! Nashindwa wengine inabidi niwarukie tu

nifanyaje ili niwakimbie ama wasinitake tena?
 
Maanisha unachokisema......kama ni hapana na iwe hivyo na kila mtu ataheshimu maamuzi yako. Kua na msimamo tu ndugu yangu.
 
Kupendwa na wake za watu sio Bahati
Ni
Nuksiiii:eek::eek::eek::confused::eek::confused::thumbdown::thumbdown::thumbdown::thumbdown::thumbdown::thumbdown::thumbdown::thumbdown::thumbdown::mad::mad::mad:
 
Nadiriki kusema kwamba,vijana wa kizazi hiki ni mzigo kwa taifa.
 
unatokana wapi na wake au wapenzi wa watu kama si tabia yako mbaya ya kumendea utakufia pabaya si kila kitu kinaliwa mlaku wewe badili tabia na wewe unajiraisisha wako yuko wapi wanakuona baba huruma sijui mama huruma hupendwi hapo wanampitia mjinga wanasepa zao na wapenzi endelea ukimwi huooooo
 
waite wote kwa pamoja waeleze kwa sura ya jwtz kwamba huwahitaji!

sio unaongea kama unalamba kungwi bana!
 
Humu MMU kuna viswahili vigumu sana, kungwi ni kama ice cream au ni nini?

ka' JERRY,

kama wewe ni mpenzi mzuri wa mapenzi (sijui kama umenielewa hapo!),

nadhani utakuwa ushakutana na hili tunda, KUNGWI!

kazi yake kuu hasa, likishaliwa hulegeza macho na kuwa ROMANTIC and SEDUCTIVE!

yani jicho likizungushwa, linakuwa kama halizunguki vileee!!!! dah!

omba usikutane na mla kungwi mzuri, utatoa sadaka yako yote!!
 
Last edited by a moderator:

Mie sio mwenyeji sana humu, asante bana kumbe ni kitu kama tunda n linalambwa duh
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom