Ni njia gani nyepesi ya kupata followers na likes instagram?

Habari wakuu,

Naomba tupeane maujanja kama kuna trick au apps za kuongeza followers kwenye mtandao wa Instagram.

Nahitaji sana msaada wenu na natanguliza shukrani.
Mkuu suala la msingi ni kuwa peace na watu, tena niamini mimi, kama facebook una friends 4500, maana ake we hapo unaweza pata rafiki 3000 toka facebook mapema sana, bado wale utakaowakuta instagram nao kama wanaona uko peace utapata followers wengi, nna account inafikisha 1K na sijafollow mtu 0 kabisa, lakini kwasabu wanajua tu niko peace, hapo nikianza kufollow na kulikes itakuaje, sema tu situmiagi sana instagram huwa natest APK za Osama Gharib kila zinapotoka.
 
Back
Top Bottom