Ni njaa au ni nini watanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni njaa au ni nini watanzania

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Smile, Jan 6, 2012.

 1. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #1
  Jan 6, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Mtu superstaa kama kanumba,kuwa kwenye tangazo la product ambayo ni mbaya.si o kwamba anaharibu reputation yake jamani? Mimi namshauri hawashtaki hawa jamaa kwa kudanganya public
  vingamuzi gani hata kuwaka haviwaki? Sekunde 2 kimezima.craaaaaaaaaaaaaap
  refer startimes advertisment.
   
 2. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #2
  Jan 6, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hivi Kanumba na yeye ni Superstar?
  nakushauri utumie DSTV maana hayo mambo ya Star times yatakuja kua kama ya GTV
   
 3. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #3
  Jan 6, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  nshakitupa kwenye dustbin siku nyingiiii ni vile naona watanzania wenzangu wanaendelea kudanganywa roho inauma
   
 4. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #4
  Jan 6, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  roho isikuume bana, unajua watanzania always tunapenda vya bure, hivi unapata Channel za kulipia kwa shilingi 9000 kwa mwezi halafu ukienda DSTV bei ya chini ni sh 29,000. hiyo inaingia akilini?
  mimi hua nawacheki tu watu ambavyo hua wanaingia mkenge, Bi mkubwa alikinunua katumia siku 9 kikawa kinazingua akipiga simu customer care full usumbufu, akaamua kupotezea, akaenda DSTV mambo poa bila chenga ingawa kulipa 87,000. kwa ajili ya entertainment tu hapa Bongo ni ishu.
   
 5. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #5
  Jan 6, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  hata kama ni elfu 2 ni hela.kwanza wanaibia nchi hawa wachina viongozi wetu tu hawajui ni ufisadi huu
   
 6. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #6
  Jan 6, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  mbona wenyewe vifaa vyao hapa ni bomba sana,yaani huu ni mwaka wa 2 sasa natumia lakini sijapata usumbufu wowote ule,ila hiki changu nimenunua mwenyewe china,sijui nyie mnaoibiwa na watz,poleni sana
   
 7. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #7
  Jan 6, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,358
  Trophy Points: 280
  kanumba level yake ni star times..ulitegemea dstv wamchukue kanumba kuadvertise...big no
   
 8. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #8
  Jan 6, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  heri yako bwana.sijui niwapeleke mahakamani??
   
 9. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #9
  Jan 6, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  JF full raha hakuna kuboreka
   
 10. GIUSEPPE

  GIUSEPPE JF-Expert Member

  #10
  Jan 6, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 4,489
  Likes Received: 4,502
  Trophy Points: 280
  kanumba ndo nani wandugu? mie mgeni.
   
Loading...