Ni nini wajibu wa jeshi na Usalama wa Taifa kiongozi wa nchi anapopeleka nchi kaburini?

5741-1.gif

Dlgo tuache tusherehekee ushindi wa kishindo.
 
Kazi ya jeshi ni kulinda mipaka ya nchi dhidi ya wavamizi kutoka nje.....nimarufuku kuingilia maswala ya siasa.....Bunge na mahakama ndo wenye mamlaka ya kuhoji maswala ya siasa, wa kishindwa nguvu ya umma kupitia maadamano ya amani....kwahiyo kama mihimili imeshindwa na umma imejaa uoga shauli zenu....msiingize jeshi la wananchi katika siasa chafu.
 
Swali langu halipo limited Tanzania pekee, nimeuliza kuijumla, kwamba ni halali kwa mfano kinacho endelea Ufilipino kwa Durtete kwa majeshi kuendelea kutii amri za Durtete anaye onekana wazi kutokua timamu tena kichwani ?
Unazungumziaje situation ya Zimbabwe kwamfano ambapo Mugabe aliondoshwa?
Nilitaka discussion in this light, si vinginevyo
 
nchi kupelekwa kaburini ni lazima iwe kiSiasa?
 
Mkuu unataka kuhalalisha mapinduzi au mauaji!!!
Swali langu halipo limited Tanzania pekee, nimeuliza kuijumla, kwamba ni halali kwa mfano kinacho endelea Ufilipino kwa Durtete kwa majeshi kuendelea kutii amri za Durtete anaye onekana wazi kutokua timamu tena kichwani ?
Unazungumziaje situation ya Zimbabwe kwamfano ambapo Mugabe aliondoshwa?
Nilitaka discussion in this light, si vinginevyo
 
Swali langu halipo limited Tanzania pekee, nimeuliza kuijumla, kwamba ni halali kwa mfano kinacho endelea Ufilipino kwa Durtete kwa majeshi kuendelea kutii amri za Durtete anaye onekana wazi kutokua timamu tena kichwani ?
Unazungumziaje situation ya Zimbabwe kwamfano ambapo Mugabe aliondoshwa?
Nilitaka discussion in this light, si vinginevyo
Hata mimi sijalenga tanzania pekee,
Hata hizo nchi unazozizungumzia ni kufanya mapinduzi au mauaji.

Alafu, mbona sijaona jambo baya kiasi cha kufikia hukoo?
 
kwa Tanzania jeshi halihusishwi kwenye siasa, tulieni dawa iingie.

Halafu mbona mnaweweseka hivii!? nani kahatarisha usalama wa wananchi? hahahaaa nhumbuuu
Swali langu halipo limited Tanzania pekee, nimeuliza kuijumla, kwamba ni halali kwa mfano kinacho endelea Ufilipino kwa Durtete kwa majeshi kuendelea kutii amri za Durtete anaye onekana wazi kutokua timamu tena kichwani ?
Unazungumziaje situation ya Zimbabwe kwamfano ambapo Mugabe aliondoshwa?
Nilitaka discussion in this light, si vinginevyo
 
Hata mimi sijalenga tanzania pekee,
Hata hizo nchi unazozizungumzia ni kufanya mapinduzi au mauaji.

Alafu, mbona sijaona jambo baya kiasi cha kufikia hukoo?
Yaaah kwa Tanzania hali ni shwari kabisa kwa sasa chini ya uongozi thabiti wa jemedari wetu Magufuli.
Hili ni swali tu aiseeh, mbona RAIA mnajihami hivi?
 
Swali langu halipo limited Tanzania pekee, nimeuliza kuijumla, kwamba ni halali kwa mfano kinacho endelea Ufilipino kwa Durtete kwa majeshi kuendelea kutii amri za Durtete anaye onekana wazi kutokua timamu tena kichwani ?
Unazungumziaje situation ya Zimbabwe kwamfano ambapo Mugabe aliondoshwa?
Nilitaka discussion in this light, si vinginevyo
kila nchi ina katiba yake, nchi zingine jeshi lina mamlaka ya kuingilia pale kiongozi anaposhindwa kuongoza vyema mfano Misri/Egypt
 
Back
Top Bottom