Ni Nini Umefanya leo Kupambana na Ufisadi/kusaidi Taifa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni Nini Umefanya leo Kupambana na Ufisadi/kusaidi Taifa?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Chapakazi, Nov 2, 2009.

 1. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #1
  Nov 2, 2009
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kutokana na kushamiri kwa Ufisadi Tanzania, nimependa kuanzisha hii thread, kusudi watu tubadilishe muelekeo. Kumbuka mabadiliko yanaanza na wewe, sio yule au serikali! Hivyo ningependa tujiulize, 'leo nimefanya nini katika kupambana na huu Ufisadi?' Hii inaweza pia kuwa upambanaji na tatizo lingine lolote linalokumba Taifa kwa ujumla. Kwa mfano, umaskini! Unaweza ukawa umemnunulia mtoto yatima lunch, au kitu kingine chochote.

  Tujaribu ku-Post our positives to motivate others...

  Shukran...
   
Loading...