Ni nini Uganda wanafanya vizuri kwenye Soka hata kufanikiwa kwenda FAINALI under 20?

FRESHMAN

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
4,804
2,000
Uganda sio level yetu,,,Uganda ndio timu pekee africa mashariki iliyokuwa inafuzu kucheza africa cup of nations ya wababe. Kabla caf hawajaongeza timu za washiriki zamani africa cup of nations zilikuwa zinashiriki timu 16 tu. Bara zima la africa.. na uganda ndio ilikuwa nchi pekee kutoka africa mashariki inafunzu. Hata kenya ya kina wanyama na mariga ilikuwa haina uwezo wa kufuzu na haifuzu. Ila uganda anafuzu.

Tanzania na kenya na burundi na rwanda tumeanza kufuzu africa cup of nations baada ya caf kufungulia mbwa na kuongeza idadi ya washiriki tuwe wengi... kufuzu imekuwa rahisi

Ukitaka kuona tofauti ya uganda na nchi zote africa mashariki kwenye soka.. ingia instagram tazama page za academy zao mfano el cambio academy masaka . Kisha jiulize bongo kama tuna academy hata moja ya level hizo
 
mmteule

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
3,668
2,000
Uganda walipata Uhuru wa Nchi yao kwa Vita ya msituni wakamwaga Damu. Hivyo kwa jambo lolote wanapopambania Nchi yao wako radhi mguu au mkono uvunjike kulinda Hadhi ya Nchi.
Lkn hawa wa kwetu hawana Spirit ya Mapambano tangu vizazi na Vizazi ndio maaana hata Uhuru mlipewa Mezani bila kupambana kwa Jasho na Damu. Kuna wakati unajiuliza maswali mpaka unajisemea Hiiiiii.
Timu unakuta iko nyuma kwa bao 3 ni dkk ya 84 lkn wachezaji wamerelax, they cant react and penalized for yellow or Red Cards nk hapo tu inatosha kugundua shidda ikko mahali ndani ya mindset ya Mutu hiii acha tuendelee kunyooshwa awamu hii mazeee huenda akili ikarudi mahala pake.
 
blogger

JF-Expert Member
Mar 13, 2012
5,196

Nini kifanyike!?
 
Utopologist

JF-Expert Member
Feb 17, 2021
368
1,000
Kufanikiwa kisoka unahitaji hasa kuwekeza kwenye sehemu mbili kuu

- kuzalisha makocha wengi wazuri ambao watatoa elimu bora ya soka kwa vijana

- kuwekeza sana kwenye miundo mbinu/viwanja vingi vya kutosha kwaajili ya maendeleo ya soka la vijana
 
rodrick alexander

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
9,736
2,000
Sisi hatuna chochote timu ya vijana tunafanya kama kijiwe, ni maajabu kocha kavurunda halafu hana timu unamchagua kuwa kocha wa timu ya vijana.
Hizi timu zote zilizoingia fainali tulicheza nazo tofauti ya wao na sisi wao walikuwa wanacheza kwa malengo na mpira wa kufundishwa
 
guwe_la_manga

JF-Expert Member
Oct 20, 2019
2,706
2,000
mimi nikiwa raisi,
ukiacha iramba kuwa mkoa,nitafanya yafuatayo:
1)nitabana fungu linalokwenda kuhudumia wanasiasa wasio na tija kama wabunge wa ccm na wale uchwara wa upinzani na kuipeleka kwenye ujenzi wa viwanja kila mkoa na wilaya vya mpira
2)kupunguza monopoly ya simba na yanga kwa kuinvest vingine kama namungo kwa sasa ili vijana wawaze mbali na siyo tu kuishia kutamani kucheza simba na yanga
3)kuanzisha akademi kila wilaya na mkoa ili kuvilea vipaji
4)na mwisho kuufuta usimba na uyanga ambao mpaka haujaleta tija yeyote kitaifa
 
adolay

JF-Expert Member
Dec 8, 2011
11,718
2,000
Tatizo ni ccm, siku ccm akiondoka madarakani ndio utakuwa mwanzo wa laana zote kuondoka.

Perfect 100%

Tatizo ni ccm

Haijawahi kufanikisha chochote isipokuwa majungu tu

Mkukuta
Mkurabita
Matokeo makuwa sasa
Upe

Nknk

2. Ccm niwachafuzi wa taasisi za umma
A. Polisi wamejipenyeza
B. Majeshini wamejipenyeza
C. Michezoni wamejipenyeza

Wakishajiingiza baasi taasisi hiyo imeisha. Nikusifia lolote yaani nikuitikia ndiyooo.... kila jambo ndiyooo

Hakika jinamizi ni ccm.
 
adolay

JF-Expert Member
Dec 8, 2011
11,718
2,000
mimi nikiwa raisi,
ukiacha iramba kuwa mkoa,nitafanya yafuatayo:
1)nitabana fungu linalokwenda kuhudumia wanasiasa wasio na tija kama wabunge wa ccm na wale uchwara wa upinzani na kuipeleka kwenye ujenzi wa viwanja kila mkoa na wilaya vya mpira
2)kupunguza monopoly ya simba na yanga kwa kuinvest vingine kama namungo kwa sasa ili vijana wawaze mbali na siyo tu kuishia kutamani kucheza simba na yanga
3)kuanzisha akademi kila wilaya na mkoa ili kuvilea vipaji
4)na mwisho kuufuta usimba na uyanga ambao mpaka haujaleta tija yeyote kitaifa

Yanga + Simba = CCM
 
mzabzab

JF-Expert Member
Aug 18, 2011
11,416
2,000
Kufanikiwa kisoka unahitaji hasa kuwekeza kwenye sehemu mbili kuu

- kuzalisha makocha wengi wazuri ambao watatoa elimu bora ya soka kwa vijana

- kuwekeza sana kwenye miundo mbinu/viwanja vingi vya kutosha kwaajili ya maendeleo ya soka la vijana
Na hiyo point ya kwanza ndio tunapofeli sie....wahamasishaji ni wengi.

Pia elimu....wenzetu kuwaendeleza makocha wao inakuwa rahisi maana lugha ya malkia sio shida. So ata kuwapeleka abroad kupata elimu zaidi inakuwa rahisi.
 
mzabzab

JF-Expert Member
Aug 18, 2011
11,416
2,000
Sisi hatuna chochote timu ya vijana tunafanya kama kijiwe, ni maajabu kocha kavurunda halafu hana timu unamchagua kuwa kocha wa timu ya vijana.
Hizi timu zote zilizoingia fainali tulicheza nazo tofauti ya wao na sisi wao walikuwa wanacheza kwa malengo na mpira wa kufundishwa
Tena kocha mwenyewe alishasemaga kuwa yeye mpira wa tanzania basi
 
Krav Maga

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
4,504
2,000
Ni kipi Watanzania tujifunze!

Mamlaka husika msijifungie ndani kula mihogo. Uganda karibu sana hapa.

Nendeni mkajifunze.
Mkazo wa Michezo Kwao ni Sera iliyo rasmi katika Wizara yao ya Elimu na Serikali yao inatoa Sapoti yote Kwao. Wana Mashindano mazuri mno ya Michezo ( hasa Soka, Riadha na Kikapu ) kuanzia Shule za Msingi hadi Vyuo Vikuu. Na Wao Sera yao Kuu ni Elimu na Kipaji ndiyo maana sishangai kuona Wachezaji wao wengi japo ni Mahiri Uwanjani lakini pia Kitaaluma ( Kielimu ) wako vyema. Beki wa zamani wa Simba SC Joseph Owino alikuwa na Shahada ya Kwanza ya Utawala wa Biashara huku Kiungo wa sasa wa Simba SC Thadeo Lwanga ana Shahada ya Uzamili ya Software Engineering na Wengineo wengi tu. Katika Michezo na Elimu Uganda kama nchi ( Taifa ) wametuacha mbali sana na si vibaya kama tukijifunza mengi kutoka Kwao japo Kihistoria tuliwasaidia katika Ukombozi wao kwa Dikteta Hayati Nduli Idi Amin Dada.
 
guwe_la_manga

JF-Expert Member
Oct 20, 2019
2,706
2,000
adolay
simba na yanga zipo pale ili kuwapumbaza watu wasijadili vitu vyenye,badala yake watu wajadili sijui ni nani bingwa wa kihistoria,sijui ni nani anaongoza kupanda ndege kwenda kimataifa,ni ujinga ujinga!
we ushangai ni kwanini ile gemu ya november mwaka jana ya dabi ya kariakoo iliahirishwa ili itumike kisiasa kuwatuliza wananchi ili wasijadili wizi wa kura wa ccm,badala yake wajadili ni nani utopolo na nani wa kimataifa!
 
Balaa sana Mkuu
 
Zamiluni Zamiluni

JF-Expert Member
Feb 11, 2014
13,009
2,000
Ni kipi Watanzania tujifunze!

Mamlaka husika msijifungie ndani kula mihogo. Uganda karibu sana hapa.

Nendeni mkajifunze.
Mmmmh!! Wewe... UG itushindie sisi...unaota mchana ? Siye tunacheza mpira unusu karne na ushee..
Tusivunjane moto bhana.
 
blogger

JF-Expert Member
Mar 13, 2012
5,196
2,000
Tuna Mlima mrefuu wa kupanda aiseee... Mungu aingilie kati..
Mkazo wa Michezo Kwao ni Sera iliyo rasmi katika Wizara yao ya Elimu na Serikali yao inatoa Sapoti yote Kwao. Wana Mashindano mazuri mno ya Michezo ( hasa Soka, Riadha na Kikapu ) kuanzia Shule za Msingi hadi Vyuo Vikuu. Na Wao Sera yao Kuu ni Elimu na Kipaji ndiyo maana sishangai kuona Wachezaji wao wengi japo ni Mahiri Uwanjani lakini pia Kitaaluma ( Kielimu ) wako vyema. Beki wa zamani wa Simba SC Joseph Owino alikuwa na Shahada ya Kwanza ya Utawala wa Biashara huku Kiungo wa sasa wa Simba SC Thadeo Lwanga ana Shahada ya Uzamili ya Software Engineering na Wengineo wengi tu. Katika Michezo na Elimu Uganda kama nchi ( Taifa ) wametuacha mbali sana na si vibaya kama tukijifunza mengi kutoka Kwao japo Kihistoria tuliwasaidia katika Ukombozi wao kwa Dikteta Hayati Nduli Idi Amin Dada.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom