Ni nini tafsiri ya Wana CHADEMA kujiita Makamanda na kuvaa Magwanda?

Hahaha Kamanda labda wa Viroba hapo sawa
Chadema Jina uhalisia Wapiga Ruzuku tu hawana lolote
 
Kwahiyo, kwa kifupi mnataka Chadema wajibu mapigo? Kwani kauli ya Tulianza na Mungu na Tunamaliza na Mungu huielewi au? Sasa subiria kitakachoanza kuonekana hapo arumeru. Taarifa za chinichini tu ni kwamba madiwani walioshindishwa kwa nguvu na ccm kupitia polisi wameanza kuogopa kujitokeza na huenda wengine wakaingia mitini kwenye zoezi la kuapishwa. Usicheze na hii kitu wewe! Kuna damu ya watu ilimwagika hapo ndugu yangu. Wacha kabisa.
Hivyo vitisho kamueleze Mugabe wenu Mbowe
huna lakufanya wala huyo Mugabe hana lakufanya
 
Ukamanda huo sio kama unavyoutafsiri wewe..

Hata kupambania haki za wanyonge ni ukamanda. Kupambana dhidi ya jeshi lakidiktena na uongozi wa kidiktena ni ukamanda.
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Nijuavyo mimi ni kwamba, Makamanda ni wapambanaji na watu wa shughuli kweli. Pia nafahamu wazi kuwa gwanda ni vazi la 'mtiti'. Hata hivyo, inanipa tabu kuelewa sababu ya CHADEMA kujiita makamanda na kuvaa gwanda ilhali matendo yao hayareflect jina wanalojiita na mavazi wanayovaa.

Kinachonishangaza zaidi ni kuona hata warembo wakiwemo akina Wema Sepetu nao wakijiita makamanda. Nisaidieni wadau kuoanisha haya na malalamiko wanayoendelea kutoa CHADEMA kila uchwao dhidi ya Jeshi la Polisi na CCM
Lazima uelewe kuna makamanda aina nyingi mfano....mgambo, police na wanajeshi
Hao itakua bado wagambo ndo Maana lakini laini
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Nijuavyo mimi ni kwamba, Makamanda ni wapambanaji na watu wa shughuli kweli. Pia nafahamu wazi kuwa gwanda ni vazi la 'mtiti'. Hata hivyo, inanipa tabu kuelewa sababu ya CHADEMA kujiita makamanda na kuvaa gwanda ilhali matendo yao hayareflect jina wanalojiita na mavazi wanayovaa.

Kinachonishangaza zaidi ni kuona hata warembo wakiwemo akina Wema Sepetu nao wakijiita makamanda. Nisaidieni wadau kuoanisha haya na malalamiko wanayoendelea kutoa CHADEMA kila uchwao dhidi ya Jeshi la Polisi na CCM
Makamanda wa kudeki barabara hata james delicious nae ni kamanda wa cdm
 
Hivi wanajua hata maana ya kamanda mbowe mwenyewe hajawahi kwenda hata mgambo
Hamna cha ukamanda wala nini akina Mbowe lengo lao ilikuwa biashara kuuza hayo magwanda wakiwahadaa kuwa kila kamanda awe na hayo magwanda.wamepiga hela hasa kwa mauzo ya kuuza hayo magwanda kwa makamanda hewa wa chadema.Ilikuwa ni business strategy tu
 
Lizaboni uko Uingereza halafu unaleta uzi kama huu!!! hebu lete mifano ya sisi kuiga ili watoto wetu wasome hapa wasiende tena huko kama wewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom