Ni nini sababu ya ujauzito kuharibika? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni nini sababu ya ujauzito kuharibika?

Discussion in 'JF Doctor' started by Kajole, Sep 13, 2011.

 1. K

  Kajole JF-Expert Member

  #1
  Sep 13, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 636
  Likes Received: 287
  Trophy Points: 80
  Habar wakuu?,hili ni tatizo linalomkabiri mchumba wangu hvyo nimelileta kwenu kuomba msaada wenu. Tatizo lenyewe ni: alianza kusumbuliwa na maumivu ya mgongo hvyo tarh 11/6 tukaenda kupima na akaonekana POSITIVE-mimba ipo lkn ajabu tarh 9-13 mwez 7 akaona siku zake kama kawaida.

  Mwez wa8 HAKUPATA siku zake kama ilivyotarajiwa yan kati ya tarh 6-10 hvyo 2kaamua kupima nyumban na majibu yakawa POSITIVE,tukaenda hospital kupima tena majibu yakawa yaleyale-ipo mimba lakini ajabu tena tarh baada ya wiki 2 yan tarh 21/8 akaona siku zake japokuwa haikuwa ya kawaida kwan ilianza Matone ya rangi ya dhambarau na kisha mabonge mabonge na maumivu makali na ilidumu kwa cku tatu tu.

  Tarh 11/9 akapima tena hospital na akaambiwa ni NEGATIVE-Haipo lkn anajickia kuchoka pia kichefuchefu na anakojoa mara kwa mara. Ndugu zangu 2saidien hili ni tatizo gani, anasumbuliwa na nini na tutatatua vipi hili tatizo?

  Mungu awabariki sana.
   
 2. Pawaga

  Pawaga JF-Expert Member

  #2
  Sep 13, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 1,246
  Likes Received: 684
  Trophy Points: 280
  pole sana,subiri wataalam wanakuja natumaini watakusaidia
   
 3. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #3
  Sep 13, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  dah pole sana mkuu...............hbu wanakuja wenyewe ssa hvi
   
 4. k

  kisukari JF-Expert Member

  #4
  Sep 14, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,754
  Likes Received: 1,039
  Trophy Points: 280
  kwa maelezo yako,hiyo mimba ni kama imeshatoka.mabonge ya damu na maumivu.ingekuwa bleeding ndogo ndogo,uwezekano wa mimba upo.lakini mabonge ya damu na maumivu juu,ni kama mimba imeharibika,cha muhimu asichoke kwenda hospitali kupata uhakika zaidi
   
 5. daughter

  daughter JF-Expert Member

  #5
  Sep 14, 2011
  Joined: Jun 22, 2009
  Messages: 1,274
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Pole kaka. I experienced something similar to that a few months ago tofauti ni kuwa mimi sikuona period zangu kabisa. I went to three different doctors na wote walisema mimba inatoka sikuamini coz nilikuwa nableed kidogo kidogo(spot bleeding bila maumivu yoyote). Finally nilipata maumivu makali sana ya tumbo na nikafanyiwa D & C ikawa ndo mwisho wa habari. Nakushauri umpeleke huyo dada hospital mapema iwezekanavyo coz unavyoelezea ni kama mimba imeshatoka.
   
 6. K

  Kajole JF-Expert Member

  #6
  Sep 14, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 636
  Likes Received: 287
  Trophy Points: 80
  <br /> <br / Asante sana kwa ushauri wako mzuri na leo tutaenda tena hospital kwa uchunguzi zaidi japokuwa nakosa kuamini tena hospital maana napata majibu tofauti tofauti kwa the same problem
   
 7. K

  Kajole JF-Expert Member

  #7
  Sep 14, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 636
  Likes Received: 287
  Trophy Points: 80
  Asante sana na ubarikiwe kwa maelezo yako,.leo natarajia kwenda hospital tena kwa uchunguz zaidi
   
 8. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #8
  Sep 14, 2011
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Pole sana mkuu, pia mfikishie pole shemeji. Inatokea kwa wanawake wengi kupata kama damu ya hedhi akiwa na ujauzito mchanga (mwezi wa kwanza na/au wa pili), lakini huwa kidogo kiasi tu cha kustain chupi, na inaweza ikaendeana na siku zake za kawaida za hedhi au tofauti kidogo.

  Lakini inapokuwa kiasi cha kutoa mabonge ikiambatana na maumivu makali ya tumbo la chini/uzazi...ni dhahiri hapo mimba inatoka na anahitaji kwenda hospitali haraka, aonwe na daktari wa magonjwa ya wanawake na amfanyie ultrasound kuhakikisha imetoka yote. Mimba zinapotoka zina tendency ya kubakiza uchafu kidogo (retained products of conception), na hizi husababisha bleeding kubwa sana ghafla au kwa muda mrefu. Na pia mimba nyingine haiwezi tunga mpaka hiyo product/uchafu utoke. Kama ipo basi atasafishwa (D & C), na hizo risk zote zitakuwa zimeondoka.
   
 9. K

  Kajole JF-Expert Member

  #9
  Sep 14, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 636
  Likes Received: 287
  Trophy Points: 80
  <br /> <br / asante sana na pole zimefika kwa shemeji yako,.leo tunatarajia kwenda hospital,ntarudi na feedback kuwajuza zaidi
   
 10. Mtanzania haswa

  Mtanzania haswa JF-Expert Member

  #10
  Sep 14, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 665
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  the same happened to my wife pole sana, hi hali inawatokea sana wanawake wakati wa mimba changa miezi 2-3. na kwa jinsi inavyo onekana ni kwamba mimba imekwishatoka (miscarage). maumivu ya tumbo la chini na kutoa damu ya mabonge ni dalili za miscarage. pole sana mkuu
   
 11. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #11
  Sep 14, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  kajole,bado hujaanza safari ya hosp? pole sana,wahi hosp na dr afanye yanayohitajika asije akapata maambukizi.wakati damu inaanza kutoka wakati akiwa mjamzto,alipaswa aambiewe cha kufanya.pengine alihitaji bed rest. msijali,mungu ndo mgawa baraka ya watoto.mtafanikiwa kwa wakati ambao sio wa kuchelewa wala wa kuwahi. kila la kheri.
   
 12. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #12
  Sep 14, 2011
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Pole sana! wahi kwa madaktari bingwa wa kinamama hiyo mimba yaelekea imekwisha toka na asipowahi kuchekiwa itamletea madhara mengine, kawaone madaktari mapema usiogope garama za kuwaona okoa maisha ya mwenzi wako
   
 13. BPM

  BPM JF-Expert Member

  #13
  Sep 14, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,766
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  tafadhali onana na dr anayehusika na masuala ya uzazi kwa akina mama kwa ushauri na vipimo zaidi
   
 14. C

  Curriculum Specialist JF-Expert Member

  #14
  Sep 14, 2011
  Joined: Oct 8, 2007
  Messages: 2,736
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Pole ndugu yangu, wadau wote wametoa ushauri mzuri ambao utanisaidia na mimi pia maana mchumba ame-experience the same thing leo asubuhi na ilinifadhaisha sana nashukuru kwa ushauri ambao nimeupata kupitia ujumbe wako.
   
 15. K

  Kajole JF-Expert Member

  #15
  Sep 14, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 636
  Likes Received: 287
  Trophy Points: 80
  jaman asanteni sana wote kwa ushaur na mawazo yenu ambayo kwa kweli ni constructive sana na yametupa faraja na kutupungua maumivu kwa kiasi fulani. Ok mchumba ndio ametoka hospitali na majibu aliyopewa ni haya: kapimwa na ni negative-HAKUNA MIMBA wala tatizo lolote tena ktk mwili wake maana yake imetoka na kuhusu maumivu na dalili nyingine ni kwamba atakuwa anakaribia kupata HEDHI nyingne tena yan anarudi ktk mzunguko wake wa kawaida. Mungu awabariki sana na kiukweli JF ni mambo yoooote!.
   
 16. Rodcones

  Rodcones JF-Expert Member

  #16
  Sep 15, 2011
  Joined: Oct 16, 2007
  Messages: 403
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Mkuu
  Hao madaktari hawakumfanyia UTRASOUND mkeo
  Inavyo onyesha tayari mkeo ameshapata abortion kulingana na maelezo yako.
  Lakini kama utaenda Hospital Fanya ultrasound, i mean lower abdominal ultrasound to check for uterus size and other things.
  Pia wanaweza kucheck Viginal kwa sababu inaweza kuwa incomplete abortion,
  Na kama ni complete abortion wataangalia then itakuwa saafi kabisa na tatizo hilo ina sababu nyingi
  Katika suala la kuchoka ni kutokana na loss of blood so anatakiwa kupata fluid ya kutosha kama replacement

  Note Utrasound ndo confirmation test vingine miyeyusho tu.
   
 17. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #17
  Sep 15, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  <br />
  <br />
  nenda mkuu then usisahau kurudi ulete riport mkuu.
   
 18. K

  Kajole JF-Expert Member

  #18
  Sep 15, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 636
  Likes Received: 287
  Trophy Points: 80
  Dio, asante sana kwa yote pia nilienda jana hosp na feed back nimeandika hapo juu. Nimeeleza alichosema doctor,.kwa kifupi amesema kuwa hana tatizo lolote kwa sasa ila ni kweli mimba imetoka kama wachangiaji weng walivyoona.

  Pia kuhusu kuchoka, maumivu ya kichwa, kukojoa mara kwa mara anadai ni kwa sababu anakaribia kupata hedhi nyngne na kurudi ktk mzungu wake wa kawaida. Tunawashukuru wanaJF wote kwa kweli mnafariji na kusaidia sana kwa michango yenu.
   
 19. K

  Kajole JF-Expert Member

  #19
  Sep 15, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 636
  Likes Received: 287
  Trophy Points: 80
  Mkuu Hao madaktari hawakumfanyia UTRASOUND? Note Utrasound ndo confirmation test vingine miyeyusho tu.[/QUOTE] Mkuu Rodcones, mi sielewi ni kwanin madaktar wote 2naoenda wanakwepa kupiga ultrasound, hata jana 2memueleza ni vizur kama atapgwa ultrasound akasema atatumia kipimo cha kawaida tu na kikishndwa kutoa matokeo ndo atapga ultrasound (2mekuwa 2kielezwa hvyo na zaidi ya madaktar 3 2liowaona).

  But 2tapima kwa kipimo hcho tarh 20/9 pale KCMC maana 2natarajia kwenda huko kwa kazi nyingine hvyo 2tafanya na hilo. Nazidi kuwaombea baraka na moyo huo huo wa kusaidiana.
   
 20. S

  Sina pa kwenda Senior Member

  #20
  Nov 24, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 116
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wanajamvini majuzi kuna jamaa angu mmoja wifey wake alikuwa na mimba iliyokaa kama wiki tatu nne hivi sasa ghafla akashangaa wifey anableed, akaenda hospital wakamwambia ni incomplete abortion sasa akaenda kupima Utra Soundili waone kama kuna masalia yamebaki wakaona kuna free fluids katika Douglas Pouch sipata kuelewa hii inasababishwa na nini na ni kitu gani hati, Msaada plz
   
Loading...