Ni nini sababu ya kupungua kwa mikopo ya HESLB mwaka 2021?

Wew mshamba tuu siasa gani unayoijua uchwara tuu,unashindia mikate unajifanya uko safi toa uozo kichwan umo
Naweza kukulisha wewe, mkeo hadi ya familia yako yote. Mkalala kwangu, kuoga kwangu, kukohoa kwangu, na kunywa kwangu.
Sihitaji kubishana nawewe engineer uchwala, hujui lolote hapo ulipo.
 
Naweza kukulisha wewe, mkeo hadi ya familia yako yote. Mkalala kwangu, kuoga kwangu, kukohoa kwangu, na kunywa kwangu.
Sihitaji kubishana nawewe engineer uchwala, hujui lolote hapo ulipo.
Achana na mm wew fukara usiye na maisha kazi kuomba omba tu endeleeni kuwa watumwa na akili zenu ndogo naweza nunua ukoo wenu wote nikawalisha mwaka mzima pamoja na mchepuko wako
 
You've nothing to discuss with me bro, it seems your mind is unmatured. Let me tell you the truth, this was not the right time for you to join jamii forums.

Jamiiforum umejiunga juzi, hivyo kuwa na uelewa wa kutosha juu ya jamii forum. Unatutia aibu humu
Wew uliyejiingiza Jana umeleta faida gan umu kweny watu laki tano unatutia fedheha tu
 
Kukosa mkopo ni malalamiko, na kulipa tena deni ni malalamikooooo.

Mbongo na malalamiko ni pete na kidole
watu tulipata mikopo kwa shangwe zote Sasa ivi tupo kitaa hatuna mwelekeo kuzilipa ishakua kuzungumkuti
 
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza leo (Ijumaa, Oktoba 22, 2021) orodha ya awamu ya pili yenye wanafunzi 7,364 wa mwaka wa kwanza waliopangiwa mikopo yenye thamani ya TZS 19.4 Bilioni kwa mwaka wa masomo 2021/2022 unaotarajiwa kuanzia wiki ijayo.

Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB Bw. Abdul-Razaq Badru amesema kuwa orodha hiyo iliyotolewa leo inafanya jumla ya wanafunzi wa mwaka wa kwanza kufikia 45,095 waliopangiwa mikopo yenye kiasi cha thamani ya TZS 119.3 Bilioni.

Badru ameongeza kuwa HESLB tayari imeanza kupeleka fedha za wanafunzi hao waliopangiwa mikopo awamu ya pili katika vyuo mbalimbali na kuwataka wanafunzi kupata taarifa za kina katika akaunti walizotumia kuomba mkopo maarufu kama SIPA (Student’s Individual Permanent Account) na kujiandaa kwenda vyuoni kwa ajili ya kujisajili.

“Serikali imeshatupatia fedha na tumeanza kuzipeleka vyuoni … lengo letu ni kuhakikisha wanafunzi wanaopangiwa wanazikuta fedha vyuoni ambako watajisajili na kupokea ili watimize ndoto zao,” amesema Badru.

Tarehe ya kutolewa Orodha ya Awamu ya Tatu

Kuhusu kutangazwa kwa orodha ya Awamu ya Tatu, Badru amesema orodha ya wanafunzi waliopangiwa mikopo itatolewa Jumatatu, Oktoba 25, 2021 baada ya kukamilisha uchambuzi wa maombi unaoendelea na kuwataka waombaji mikopo kutembelea akaunti zao ya SIPA kupata taarifa kuhusu maombi yao.

“Orodha hii ya pili inajumuisha wanafunzi wenye sifa zikiwemo kuwa wahitaji, wameomba kwa usahihi na wamekamilisha taratibu za udahili wa chuo kimoja … tunakamilisha uchambuzi wa maombi mengine na tutaoa orodha ya tatu katika siku tatu zijazo, yaani Jumatatu Oktoba 25, 2021,” amesema Badru.

TZS 570 Bilioni zimetengwa kwa mikopo ya elimu ya juu 2021/2022

Kwa mujibu wa Badru, Serikali imetenga TZS 570 Bilioni kwa ajili ya mikopoya jumla ya wanafunzi 160,000. Kati yao, wanafunzi 70,000 watakuwa ni wanufaika wapya na wanafunzi zaidi ya 90,000 ni wale wanaoendelea na masomo baada ya kufaulu mitihani yao ya mwaka.

Fedha zimeanza kutumwa vyuoni

Wakati huohuo, Badru amesema HESLB imeshapokea fedha kwa ajili ya malipo ya wanafunzi na taratibu za malipo zimekamilika na fedha za wanafunzi zinatarajia kufika vyuoni kuanzia leo, Ijumaa Oktoba 22, 2021.

Wito

Aidha, Badru alisema HESLB inawasihi waombaji wa mikopo kuwa watulivu wakati mchakato wa upangaji wa mikopo kwa wanafunzi wenye sifa kwa awamu inayofuata ukiendelea.

Mwisho.
 
Hili swala la mikopo sio swala ambalo lingepaswa kuzungumziwa kisiasa..wala favour ....Uchumi unakua kwa manufaa yapi?BORA NIPIGE PENDING kuna watu wakupiga sana.
 
Tujadili nini sasa na washika rungu wameshafanya yao.

Tafsiri ya bodi ya mikopo ni nini?

1. Si lazima wote muwe madaktari
2. Madaktari wamejaa mitaani
3. Afya ni ualimu uliochangamka kwa hivi sasa
4. Afya sio kipaumbele tena unakosa mkopo kama anavyoweza kukosa mkopo mwanafunzi anayesomea ususi na ufinyazi
5. Serikali haina sehemu ya kuwapeleka madaktari hivi sasa

Kwanini nimelenga afya zaidi hapo juu dhidi ya bodi ya mikopo

1. Afya ndo kozi pekee ambazo ukikosa mkopo hasa mtoto wa masikini unayo 90% yakutoenda chuo sababu ada zake ni kubwa mno.

ASANTE
et afya sio kipaumbele
Unauhakika na unachokiongea?
kabla ya mkopo ulisoma vipaumbele??
 
Tatizo hasa ni nini kupungua kwa mikopo 2021 na watu wengi hususani wanaotoka kaya maskini kupata chini ya asilimia 50.

Karibu tujadiliane
Kwani si nilipost humu inasema katoa mikopo kwa wanafunzi mara mbili ndani ya miezi sita zaidi ya miaka mi5 ya Hayati? Kumbe ni chini ya 50%!
 
Back
Top Bottom