Ni nini kinachoongeza hatari za kutoka kwa mimba?

Kasomi

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
11,036
20,337
•Kuwa na umri wa chini ya miaka 20 au zaidi ya 40
•Kuwahi kutoka kwa mimba hapo awali
•Kuwa na uzani mdogo sana au mkubwa sana wa mwili
•Kufanya kazi saa nyingi na zamu za usiku
•Kuwa mweusi
•Uvutaji wa sigara
•Unywaji wa pombe wa kiwango cha juu
Ni usaidizi gani unaweza kupata ?

Utafiti uliochapisha katika Lancet unasema:

•Usaidizi wa kabla ya mimba ili wanawake wawe katika hali bora iwezekanavyo kwa ajili ya mimba
•Uchunguzi wa mapema wa mimba kuwana usaidizi kutoka mwanzoni mwa mimba
•Vipimo vya tumbo vya ultrasounds kuangalia muundo wa kizazi
•Matibabu ya homoni
•Sindano za aspirini na heparini ili kupunguza hatari ya kuganda kwa damu
•Wanawake wanaotokwa damu katika kipindi cha mwanzo wa mimba zao wapewe progesterone
•Vipimo na matibabu vitolewe kwa wale wenye tumbo dhaifu la uzazi.
 
Hapo umri chini ya 20 kutoka mimba nakataa inategemea na mwanamke amebarehe katika umri gani
umri sahihi wa kuanza kuweza kushika mimba zenye afya ni miaka miwili au mi3 mwanamke baada kubarehe
Na wasichana wengi hubarehe kati ya miaka 12 mpk 15
Hvyo tunaweza sema umri sahihi wa kushika mimba ni miaka kuanzia 17 hii inamaana mimba zinakuwa bora na huzaliwa watoto wenye afya ni nadra umri huo mimba kutoka kwa 7bu yoyote ile ikiwa huyo msichana ana afya njema na ana elimu ya kulea mimba kwa kusema kwamba ameanza hudhuria CLINIK mapema hivyo ana elimu ya kulea mimba

Hizo ni chunguzi za brainwash kuwafanya wasichana waogope wasishike mimba mapema ambapo ni tatizo kubwa kwa dunia kwa baadaye kulingana na mtindo wa maisha tunayoishi
Maana hapo umeeleza matatizo lkn umesahau kutufafanulia wenye afya njema kwanini wasishike mimba wakiwa na umri chini ya miaka 20 ukiondoa matatizo ya kiafya
Maana si wote wenye matatizo ya kiafya

Takwimu za uingereza kwa miaka 3 au 4 iliyopita niliwahi soma article moja toka BBC inahusu majina wanayopenda wazazi wapa watoto wao nikaona
Inaelezea wasichana kuanzia miaka 18 ndio waliongoza kwa kuzaa zaidi mwaka huo likifuatiwa na kundi la miaka 20 na kuendelea

Nenda instagram fuata ukurasa unaitwa She said yes au soumate_Usa vijana chini ya miaka 20 wanaona kila uchwao na wanazaa hila sisi tunadangwanya na hizo tafiti zenye mlengo maalum
 
🙏🙏🙏 Ngoja nilifanyie kazi hili
 
Back
Top Bottom