Ni nini kimempata Mabere Marando tangu alipoahidi atakuwa anatowa matokeo ya Urais kabla hayachakachuliwa na Tume?

Dr Matola PhD

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
56,289
92,376
Inawezekana siko informed lakini nauliza ni nini kilichomtokea Mabere Marando ambaye alituahidi kwenye uchaguzi mkuu uliopitawa mwa 2015 angekuwa anatangaza matokeo kabla Lubuva hajayachezea?

Yuko kimya kabisa mtu huyu tangu atowe ahadi ile mpaka leo hasikiki kabisa, kulikoni?
 
Mkuu binadam sio machine, huugua, hupata nafuu, na pengine kupunguza majukumu...

Dont rely on people, rely on systems... make them work for you........

Human being is probably the eeliest of all living kingdoms.
 
Back
Top Bottom