Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 13,227
- 26,048
- Thread starter
- #61
Sahihi kabisa. Hakuna jambo rahisi kwenye utekelezaji kama hili kwa sababu halihutaji nguvu wala fedha katika kulisimamia na kuhakikisha linafanyika vizuri.Solution yake inaanzia waizarani kulete mpango kazi ambao mpaka mwenyekiti, mtendaji na mjumbe wa kaya anafahamishwa jinsi viwanja au maneno yanavyotakiwa kuendelezwa.
Ilikuwa rahisi tuu mjumbe wa shina amuonye mangi fulani anayejenga mpaka nje ya mawe pale mabibo opposite NIT. Au aple sinza queen of sheebah lakini mjumbe na mtendaji siku hizi wamekurupuka kukusanya fedha za kibali cha ujenzi halafu wanaminya matumboni mwao. Wala hawajishughulishi kuangalia mipaka, barabara zinapata nafasi.
CCM wananishangazaga sana , sijui akili zao wamepeleka wapi hawa jamaa