Na ikitokea ukakuta mtu anasikiliza hivyo vipindi huku mjini, basi ujue lazma atakua na umri kama wakwako.
Radio ya taifa imepata challenge kubwa kutoka kwenye Radio binafsi na kwa kiasi fulani kupoteza mwelekeo kwenye ushindani
Sent using vidole vyangu!!
Ubunifu mkuu nafikiri hii radio yetu ya taifa iko na some sort of conservativenessyes mkuu!
Nakubaliana na wewe,ushindani wa soko
Huo ushindani umetokana na nini?
Hao watu binafsi wana nini mpk huyu jamaa kaumizwa kiasi hiki!
Sent using Jamii Forums mobile app
Exactly mkuu, ukiwa town unaanza kupata habari hata kabla ya media husika.Dunia ya Mjini ni tofauti sana na vijijini access ya kupata hotuba ama taarifa za habari au za Mwl Nyerere kama ulivyosema hapo ni rahis sana tofaut na sie wa huku vijijini....
Watu wa mjini hamuhitaji kusubir mpka saa mbili usiku kujua leo duniani kuna nin in a matter of seconds all the information are on hand
Sent using Jamii Forums mobile app
Ook sawa sawaDunia ya Mjini ni tofauti sana na vijijini access ya kupata hotuba ama taarifa za habari au za Mwl Nyerere kama ulivyosema hapo ni rahis sana tofaut na sie wa huku vijijini....
Watu wa mjini hamuhitaji kusubir mpka saa mbili usiku kujua leo duniani kuna nin in a matter of seconds all the information are on hand
Sent using Jamii Forums mobile app
sawa sawa mkuuUbunifu mkuu nafikiri hii radio yetu ya taifa iko na some sort of conservativeness
Sent using vidole vyangu!!
Yeah hauna sababu ya kusubir taarifa ya habar ya saa 7, 10 ama saa mbili usikuExactly mkuu, ukiwa town unaanza kupata habari hata kabla ya media husika.
Jibu la msingi niTerehe 1 Julai, 2007 Radio Tanzania Dar es Salaam na televisheni ya Taifa (TVT) ziliunganishwa na kuwa Tanzania Broadcasting Corporation.
Nikikumbuka miaka hiyo TBC ilikuwa moto sana aka RADIO Tz Dzm..na wakati huo radio zilizotumiaka alimaarufu kama redio za phillps na national na panasonic na Nationalpanasonic
Achilia mbali na watangazaji waliokuwepo machachari kwa mfano:
Abou Liongo–Michezo
Ahmed Jongo–(Mpira, na mnazi wa kutupwa wa yeboyebo)
Ahmed Kipozi–Mpira
Abdallah Iddrissa Majura–Michezo
Abdallah Mlawa—Kijaruba, Ombi lako
Abdul Ngarawa -Taarifa ya Habari na Mazungumzo baada ya habari
Hassan Mkumba- matangazo ya vifo
Julius Nyaissanga–Club Raha Leo Show
Bakari Msulwa- Salam
Beni Kiko (“Benjamin Kikomongo”) jina lake halisi ni Bakari Kikoloma. – Enzi za vita ya Nduli
hata sasa kuna baadhi ya watangazaji wapo kama Flora Mwano,Gabriel Zacharia,Grace Kingarame,Elisha Elia,Urassa na yule Dada wa Michezo jina limenitoka.
Pia achilia mbali na midundo yenye bashasha iliyopo mpaka sasa kwa Mfano kwenye kipindi cha michezo(hapo mkuu wa kaya amewanyamazisha wote,huku mkipata ugali) kipindi cha Harakati + Hotuba ya Mwalimu + Jungu kuu
Mimi binafsi yangu nikiwa ndani ndani kule kijijini kuna huwa nasikiliza na kufuatilia sana hotuba ya Mwl Nyerere
#Sasa nimefanya tathimini ya juu juu bado nashindwa kuelewa kitu
-Hivi kwa miaka ya sasa kuna vijana wadogo wanafuatilia vipindi vya hii Radio na kujifunza mambo mbalimbali ikiwemo historia ya Taifa? + hotuba ya Mwalimu?
-Jee!?mfumo wa vipindi na maudhui(content) ni za vijijini??? Na sio mijini?..
-Binafsi nimekuwa mdau wa kuchunguza baadhi ya mambo nikajua asilimia kubwa ya watu wa vijijini wanapenda kufuatilia hasa kwenye habari + michezo + hotuba ya Mwalimu,Jee!? Ni kwa nini vijijini na sio mijini??
-Jee!? Ni kipi kilichopelekea hiki kituo kupoteza dira na sio kama zamani? Ilikuwa kama unasubiria Habari watu wote kimya + umakini wa hali ya juu
NAWASILISHA
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna nyakati naangalia BBC naweza kuona uhalisia wa maisha ya UK.
alafu huwa wanasound vzr sana wale watuSorry nje kidogo ya mada,
Kwaniii ule wimbo wa "kama sio juhudi zako nyerereee......na uhuru tungepata wapi.....oooh kama siooo" aliimba nani eti,?
teh teh tehJibu la msingi ni
1. Vyanzo vya habari vimeongezeka - hasa simu.
2. One - sided content.
3. Maisha magumu; mida ya siui taarifa ya habari watu wapo kwenye kete za mchina kujaribu bahati ya siku.
hahahKuna nyakati naangalia BBC naweza kuona uhalisia wa maisha ya UK.
Nikiangalia CGTN inafanana tu na TBC.
Si ajabu wanafikiri Mwl. Nyerere bado yupo.Terehe 1 Julai, 2007 Radio Tanzania Dar es Salaam na televisheni ya Taifa (TVT) ziliunganishwa na kuwa Tanzania Broadcasting Corporation.