Ni nini kiliikumba Jamiiforums?

Mwiba

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
7,607
1,744
Wakuu nawapa hongera kwa kuiwezesha Jambo forums kurudi kwa kasi mpya.
Suali nililonalo ambalo pengine hapa si pahala pake lakini ni sehemu ambayo inatembelewa na wasomaji wengi kuliko pengine na hivyo kusaidia kufahamika tatizo liloikumba Jambo forums kwa muda kama wa wiki nzima iliyopita.
Je ilikuwa hacked au Ilisimamishwa? Kama tatizo ni hacked hili ni maarufu lakini kama ilisimamishwa ni kwa uwezo gani uliotumika hata kufikia chombo hiki binafsi kusimamishwa, maoni namasuala yatafuatia badala ya kupata maelezo ya masuali hayo mawili hapo juu.Wakati mwengine naona hii kurudishwa huduma ni mbinu za kuwanasa wengine kwani ukifunga inakuwa kila kitu kimekosekana.
Mwenyezi Mungu ilinde JF na members wake.
 
..............Wakati mwengine naona hii kurudishwa huduma ni mbinu za kuwanasa wengine kwani ukifunga inakuwa kila kitu kimekosekana.
....................

hebu fafanua kidogo
 
hebu fafanua kidogo

Ogah nami naungana nawe kungojea mafafanuzi yake maana Mwiba huyu ana mambo .Yaani hajui saga hili hadi akaja kufungua thread mpya ? Ama kweli nimeamini it is on JF where we dare to say openly.
 
Wakati Mbunge wa Monduli na aliyekuwa waziri mkuu, Mh Edward Lowasa alipokelewa na umati mkubwa jana na akisifiwa kuwa ameonyesha ushujaa, Leo hii mbunge wa Kyela Mh Harison Mwakyembe anarudi jimboni kwake huku umati wa watu ukimsubiri kumpokea kwa ushujaa wake aliouonyesha hivi kariburi.

Habari ambazo tumezipata,zinasema, wapambe wa Mwakyembe wameandaa mapokezi makubwa ya kumpokea shujaa huyo, kuanzia sehemu inayoitwa Stamico hadi kyela mjini.Awali kulikuwepo na fununu kuwa Mkuu wa mkoa wa mbeya alipiga marufuku mapokezi hayo.
 
Kunanukia harufu ya Kusafishana hapa.
Kwa hiyo ndugu yangu Samwel unaafiki kuwa white-head karudi kishujaa. Labda ushujaa wa kifisadi na ujasiri wa.....
 
Back
Top Bottom