Ni nini kilichokuleta kwa mara ya kwanza kabisa jijini Dar-es-salaam!

Ye mwenyewe mbona hajajielezea alikujakujaje?

Mi born here - here ndani ya bongo... Hospitali ya Asnath... (sijui kama bado ipo) ni maeneo ya ADA Estate...
 
Ikarus kumbakumba, ilikuwa late 70's. Anko alikuwa anazisifia sana akija mkoa, ikabidi tutie timu town kunyemka nazo. Ile ndo ilikuwa DASLAM bana, ah!
 
dah mi sidanganyi binamu yangu mmoja alikuja huko kijijini nakokaa akanipiga fix sana kwamba mjini kuzuri ataniletea hela ya nauli kuja,halafu alivorudi huku akauchuna. namie nikamuibukia na lift ya mshua mmoja.bada ya kufika hapa nikachangamka nikamuacha binamu hapa mie huyo ughaibu
ni,siku hizi narudi toka huko kuja mpa hi.mpk leo binamu hana hamu na mimi
mjini mipango!
 
Samahan lakin.
Nakumbuka kilichonipelekaga Dar kwa mara ya kwanza ni Bus wala ckupandaga ndege.
 
Mi dAr nimekuja uchiiiii wa mnyama,, muhimbili pale dr kariuki alisababisha mchakato...
 
Duh kweli huyu popmpo, ALIZALIWA NJITI Ocean Road akahamishiwa AGA KHAN kwa uangalizi zaidi.

Eheheeheh nakumbuka watoto njiti walikuwa wanapelekwa kitengo cha uangalizi makini/ MAKUTI... Ukila weight kidogo unarudishwa kwa wazazi ila wakishindwa kukufanya u'gain weight walikuwa wanaporwa dogo anakabidhiwa ndugu wengine.... That was a loooong tym
 
niliposikia neno Dar nikavutika sana na kwavile nilikua nahitaji buzimzuri nikajua
basi nikifanikiwaku fika huko nigeweza kumpata buzi zuri ninae muhitaji.
 
Chuo kikuu UDSM, enzi hizo kilikuwa chuo kimoja tu. Mkuu umenikumbusha mbali sana!
 
Back
Top Bottom