Ni nini kazi Ya Sumatra..?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni nini kazi Ya Sumatra..??

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KML, Jul 20, 2012.

 1. KML

  KML JF-Expert Member

  #1
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 863
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Jana nilisikiliza taarifa ya habari nikashangaa sana kusikia kumbe ile meli iliyozama haina ata ofisi na ata mda wake wa kufanya kazi ulikua umekwisha yaani imesha expire..
  Sasa niwaulize sumatra hii sindio kazi yao kujua vyote hivi ama kazi yao ni kukaa barabarani na kukamata magari na kula rushwa hadharani.?
  Kama walishindwa ata kufatilia ichi kidogo ama walisha kulu chao ndio maana hii meli ikawa inaendelea kufanya kazi??
   
 2. Komeo

  Komeo JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 2,401
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  Sumatra haishughuliki na meli zilizosajiliwa Zanzibar, Sheria ya Sumatra haifanyi kazi Zanzibar. Kule Zanzibar kuna chombo kingine kinachofanya kazi kama za Sumatra ya huku Tanganyika.
   
Loading...