Ni nini katetero | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni nini katetero

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mwiba, Jun 15, 2010.

 1. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #1
  Jun 15, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Ni suala tu naulizia ,naona huwa hili neno linatokeza tokeza hapa lakini undani wake badu sijaupata au sijaujulia !! :thumb:
   
 2. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #2
  Jun 15, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,860
  Trophy Points: 280
  Ni kijiji kiko katika Halmashauri ya wilaya ya Bukoba,jirani na Kamachumu kikiwa katika cliff overlooking Kemondo Bay....nice place....asili yake ni soko la mnada ambapo wateja na wachhuzi wake baada ya mnada walikuwa wanalewa na kupigana....Kihaya kupigana ni KUTERERA na ndio asili ya jina hilo....tuliosoma samani kulikuwa na kitabu cha kiswahili darasa la nne sura ya saba:SIKU YA GULIO KATERERO na picha ya mama mmoja mnene sana...ni hilo na wala si vinginevyo...utapotoshwa hapa...ukitaka nitakwambia maana na asili ya MWANANYAMALA
   
 3. S

  Son of Alaska JF-Expert Member

  #3
  Jun 15, 2010
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 2,813
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 0
  safari ni safari you are wrong,mwiba asked for katetero and not katerero
   
 4. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #4
  Jun 15, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,860
  Trophy Points: 280
  ukitaka picha zake ntakupatia....nimewahi kutembelea
   
 5. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #5
  Jun 15, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,860
  Trophy Points: 280
  Hakuna kitu kama Katetero....mispelling hiyo...labda afafanue
   
 6. Mama Brian

  Mama Brian JF-Expert Member

  #6
  Jun 15, 2010
  Joined: Feb 7, 2010
  Messages: 321
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Yap ni Katerero wala si katekero, umenikumbusha mbali sana " siku ya Gulio Katerero"vile vitabu sijui bado vinatumiwa mpaka sas mashuleni?
   
 7. Askofu

  Askofu JF-Expert Member

  #7
  Jun 15, 2010
  Joined: Feb 14, 2009
  Messages: 1,668
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 133
  Iwe bojo....
   
 8. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #8
  Jun 15, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,860
  Trophy Points: 280
  Sidhani....siku hizi kuna vitabu vya Kenya...
   
 9. M

  Mtu B JF-Expert Member

  #9
  Jun 16, 2010
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 921
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Bora tutumie hivyo vitabu vya Kenya, elimu yao ni bora kuliko ya Afrika nzima ndio maana wameshinda ile Zain Africa Challenge. Imagine vyuo vikuu vya Afrika nzima vilichemsha vikabaki viwili tu vya Kenya kwenye fainali. Wacha tukasome Kenya, au tuwakaribishe wakenya wakatufundishe na vitabu vyao, elimu yao bora bana.
   
 10. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #10
  Jun 16, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Mkuu tuonane jukwaa la 'mambo ya kikumbwa' nikupe twisheni.
   
 11. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #11
  Jun 16, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,008
  Trophy Points: 280
  siamini kwamba kwa shindano hilo la zain ambalo halihusiani na masomo ya shule zaidi ya uelwewa binafsi wa mwanafunzi kwako ndio kimekuwa kigezo, kwa hiyo mwakani wakichukua Nigeria itabidi tubadilishe tena vitabu tuchukue vya KiNigeria
   
 12. P

  Paul S.S Verified User

  #12
  Jun 16, 2010
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Nikweli Katerero ni sehemu huko Kagera kama wengi wetu tulivyosoma enzi hizooo, Lakini kwa maana nyingine sina uhakika kama ni rasmi ungei post topic hii ktk mambo ya kikubwa ingekaa vizuri
   
 13. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #13
  Jun 16, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,860
  Trophy Points: 280
  .........hiyo ni KACHIRIRI....yaani kuchiririka
   
 14. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #14
  Jun 16, 2010
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mi nafikiri Mwiba arudi hapa atwambia ni KATETERO au ni KATERERO. Utawenza kupewa majibu yasokufaa hapa.
   
 15. Mama Brian

  Mama Brian JF-Expert Member

  #15
  Jun 16, 2010
  Joined: Feb 7, 2010
  Messages: 321
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
   
 16. Mama Brian

  Mama Brian JF-Expert Member

  #16
  Jun 16, 2010
  Joined: Feb 7, 2010
  Messages: 321
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Teh teh!
   
 17. ELNIN0

  ELNIN0 JF-Expert Member

  #17
  Jun 16, 2010
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 3,771
  Likes Received: 221
  Trophy Points: 160
  Yeah upo sahihi kamanda, hili GULIO limejulikana sana - nakumbuka Darasa la nne kengere ya saa nne ( Short Break) na ile ya saa Kumi ( Nyumbani) mwanafunzi mmoja alikuwa anaanzisha kwa kusema kwa sauti kubwa sana ----"Siku ya Guliooooooo..........." na sisi darasa zima tunamalizia " KATEREROOOOO........" huku tunatawanyika toka class kulekea nje break time....

  Kuna fununu wenzetu wanatumia karufundi haka ka kuchapana ku apply kwenye mambo ya kiutu uzima, jamaa ni wakali wa utafitii....
   
 18. Tonge

  Tonge JF-Expert Member

  #18
  Jun 16, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  :bump:
   
 19. P

  Paul S.S Verified User

  #19
  Jun 16, 2010
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180

  Nilikua sija isoma vizuri kumbe unaulizia KATETERO? au unaulizia KATERERO?. Hebu iweke sawa ipi unaulizia, maana inawezekana tunajadili vitu viwili tofauti ? tusaidie
   
 20. katelero

  katelero JF-Expert Member

  #20
  Jun 16, 2010
  Joined: May 31, 2010
  Messages: 529
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  hahahaha jamani jina langu laleta utata eeh
  katerelo nyumbani kwetu, sweet home sweet
   
Loading...