Ni nini jibu la Makamba katika hili?

Julius Kaisari

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
1,176
675
Salaam wana JF..
Kila mwenye akili timamu,awe shabiki,mfurukutwa au mpinzani,au asiye na chama chochote cha siasa, anamtazamo wakati wa hali za vyama vya siasa tulivyonavyo na uhai wake..
Nimejaribu kujiuliza hivi ikitokea ukamuuliza ndugu Yusuph Makamba alinganishe umadhubuti wa CCM yake ya leo na ile ya miaka ile, unategemea jibu gani kwa huyu jamaa? Manaake yeye akili zake ni kama mpuuzi mjinga anayepiga ngumi ukuta wa Congrete aka Zege ...yaani ni kipofu !!!
Wana jf mn asemaje juu ya hili na huyu Makamba ?( hata kama tumeitapika hii chama cha majambazi wa Demokrasia)
Nawasilisha
 
,wewe huelewi tu matokeo yake unamuona mpuuzi.si mpuuzi wala mjinga yule mzee.
 
Back
Top Bottom