Ni nini hupelekea mke wa mtu atoke na mwingine ???

kwani ni nini hupelekea mume wa mtu atoke na mwingine ilhali kaoa , ana familia yake tena anaheshimika kwenye jamii inayomzunguka?

Afadhali umeuliza...maana inaonekana wanawake wanachukuliwa kama ni malaika vile, wakati ni washika dau wa matatizo ya kimahusiano ya wanaume. Kama mtu anatoka nje ya ndoa na mwanaume then that is a different story. Ila kama ni mwanamke kwanini tunashangaa...tunashangaa kisa kafanya mke wa mtu kama naye siyo mwanamke,!mmmh
 
1.Kuna mmoja alikuwa anamegwa kwa sababu mme wake anafanya kazi mbugani Selous na rikizo yake ni kila baada ya miezi sita. Mama huyo alikuja kuniomba msaada, na kwa kumuonea huruma nilimsaidia.

2. Mwingine mmewe alimuacha "alee" baada ya kujifungua kwa zaidi ya miezi 6, kajamaa kalipoenda kutengeneza friji kakawa kanakoboa bila wasiwasi. 40 days are more than enough.
 
Hivi we SHIZUKAN
mi unanishangaza sana we unafikiri mi ni mjinga kuuliza kuhusu hii kitu?
kwa taarifa yako hakuna swali la kijinga na isitoshe katika mambo yanayoongoza kwa kuwachanganya vijana ni love affairs
we cheka ila OMBA YASIKUKUTE !!!!
Alafu inaonekana we bado msela.
 
Unaweza kukuta utendaji mdogo wa mumewe, labda amebobea kwenye pombe hadi waziri mkuu anakuwa anashindwa kufanya kazi kisawa sawa
 
Wengi hupewa ahadi za kuapata DODOKI halafu wanaishia kupata BAMIA......Ndipo huenda kupata DODOKI pembeni
 
1.Tamaa tu za mwili
2. maugomvi yasiyoisha ,kukosekana kwa amani ndani ya nyumba na mengineyo
Kama mtu atashindwa kushinda hayo atajikuta anafanya usaliti
 
Watu hawaelewi kwanini wanaingia kwenye ndoa. Wanadhani ni fasheni, kwakuwa FisrtLady1 kaolewa na mie niolewe, ama kwakuwa Mundu kaoa, nami nioe!!

Sababu nyingine ni kuishi kimazoea...ubunifu hustawisha ndoa... Kila mmoja anatakiwa kumtreat mwenzake kama kile kipindi ambacho walikuwa wanatokeana...inaweza ikapunguza infidelity kwa kiasi kikubwa!

Ila kuna watu wana tamaa tu, hawa wafanyiwe kitu gani, hawawezi kutosheka na mtu mmoja!!
 
mke hutoka nje iwapo yafuatayo yatamtatiza,
1. Haridhishwi nyumban.
2. Kaumizwa nyumbani hivyo anataka kulipiza.
3. Kujalibu mambo ya kileo ( ku-practice stile za ajabu ajabu
ambazo nyumbani hawezi kuzitumia kuhofia kuonekana muhuni
4. Upweke uliokidhiri.
 
Kila ndoa ina mashaka yake, na kuheshimika sio silaha yakutokufanya uzinzi, ila wakati wakati mwengine mwanaumeq ndio sababu ya mke kutoka nje, mume unarudi nyumbani saa6 au 7 usiku tangu unapotoka asubuhi, ukipigiwa cm unasema uko busy na kazi kubwa utakalo uliza kwani chakula hakuna? Alafu ww mwanAmke sijui unanitafuta nn, ukirudi nyumbani mkeo hata kiss hakuna tena ukirudi umenuna nakusingizia unahoma,kumbe unaogopa kuombwa bao manake unakotoka unakujua mwenyewe....
 
Hili jukwaa ndio linaongoza kwa mambo yasiyo na msingi. Humu ndio hasa kuna Great Feelers. Saa zote mnawaza ngono na kusalitiana. Mahusiano hayamaanishi mambo ya kuoana na kuachana, kusalitiana, kutongozana na upuuzi mwingine. Hata malezi ya watoto, uhusiano na majirani zetu n.k

Haya maswali ya kwa nini fulani anatoka nje ni maswali ya watu dhaifu. Kutoka nje kwa mtu sio sbb general mpk uitafutie jawabu kwenye makundi ya watu. Kwa kifupi maisha ya watu wanaoongozwa na hisia hayanaga mijadala mingine zaidi ya namna hii. Hebu twendeni tukajadili mustakabali wa nchi yetu kwenye majukwaa ya maana. Sio kukalia mada za kike kike tu hapa
-Mademu wa kichaga hawakatiki viuno (wakatike viuno sijui wamepata ajali)
-Mimi huyu kaka simuelewi (kama humuelewi si umuombe akufanyie revision)
-Mara ooh mwezi huu sijatongozwa

Kazi kujitoingozesha tu. Kazi mambo ya kimwili tuuu, "*y'xz¨~i/x'* zenu.
Kwani wewe ukienda kujadili na kina MS si inatosha.
 
mahitaji ya kimwili tu, na mambo yenu wanaume yanachosha akili ya mwanamke, ndo anaamua kutoka, bila hivo ni ngumu sana kwa mwanamke kujitutumua kutoka aisee
 
mke hutoka nje iwapo yafuatayo yatamtatiza,
1. Haridhishwi nyumban.
2. Kaumizwa nyumbani hivyo anataka kulipiza.
3. Kujalibu mambo ya kileo ( ku-practice stile za ajabu ajabu
ambazo nyumbani hawezi kuzitumia kuhofia kuonekana muhuni
4. Upweke uliokidhiri.

Hehehe HIYO NAMBA 3 HIYO...
Ukimfumania mke anaekusaliti kwa 7bu hiyo namba 3 lazma uzimieee,.. Unaeza kudhani wife kiwete,,,kuna watu wanajua kukunja wenzao bwana.. Sio ushazoea kuchora Y daily,. Watu wa style hatwaari
 
Back
Top Bottom