Ni nini hatima ya wapiga kura Tume inapositisha uchaguzi?

segela

Member
Jun 28, 2013
75
69
Wajuzi wa sheria naomba kufahamishwa endapo tangazo la mwenyekiti wa ZEC litaendelea kama alivyolitoa, yaani uchaguzi kufutwa inamaana wapiga kura wataandikishwa upya au watabaki kama walivyo katika daftari la wapiga kura? Je haki ya mpiga kura katika mazingira haya haki mpiga kura inalindwaje?
 
Kwakuwa ameathiri maisha ya jamii, kichwa chake ni halali, ili maisha yasonge. Woga ni dhambi kubwa na kukata tamaa ni dhambi isyosameheka.
 
Back
Top Bottom