Ni nini hatima ya Babu Seya (Nguza Viking) na familia yake gerezani Ukonga??

Pape

JF-Expert Member
Dec 11, 2008
5,488
79
i950_seya.jpg


Nguza Viking a.k.a babu seya (kulia) akiwa na wanawe (toka shoto: Francis, Nguza na Papii kocha 'mtoto wa mfalme' siku walipotinga kizimbani kusikiliza rufaa yao ya kupinga adhabu ya kifungo cha maisha jela kwa tuhuma za kubaka vitoto vya shule!!

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=cA-vRSg2X0A[/ame]

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=EqnvUKFZueA&feature=related[/ame]
 
Kutoka hao mabwana labda mkuu wa kaya aondoke madarakani. otherwise, Thubutu!
 
Back
Top Bottom