ni nini hasa kipimo kizuri........

Ikiwa ndefu saana inamuumiza kwa hiyo hata-enjoy, ikiwa nene saana hali kadhalika, inaweza ikawa saizi ya kidole lakini ikamfikisha katika climax. Kwa hiyo unachohitaji ni ufundi wako tu kwa sababu starehe ya mwanamke ipo si zaidi ya nchi tano kutoka katika mashavu ya uke, kama utaweza kile kijisehemu kimekaa kama kidole kidogo(wanakiita kiharage) ni cha muhimu saana, ambapo naamini hata bastola, potelea mbali bunduki inaweza kupafikia kiurahisi na kuwafanya wote mfurahishane. Tatizo wabongo tunataka deep penetration-acha hiyo!!
 
Urefu na upana wowote tu inategemea na jinsi gani unaweza kuutumia uume wako vizuri kumridhisha mwenzi wako
 
Back
Top Bottom