Ni nini hasa kilichokuwa kinakukera kwenye Uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni nini hasa kilichokuwa kinakukera kwenye Uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Mshume Kiyate, Apr 25, 2011.

 1. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #1
  Apr 25, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mimi kilichokuwa kinanikera ni kumuona Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji mstaafu Lewis Makame alivyokuwa akitangaza matokeo ya kura za Urais Jakaya Kikwete anaendelea kuongoza....Endeleza na wewe yaliyokukera
   
 2. m

  magneto Member

  #2
  Apr 25, 2011
  Joined: Jul 23, 2008
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  kutokuwepo kwa kura ya kutokubaliana na mgombea yeyote kati ya wanaogombea, ili kura zikiwa nyingi za kukataa! vyama vijipange upya vituletee mgombea anayeuzika
   
 3. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #3
  Apr 26, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Mimi kilikuwa nachukia sana kumuona mrema akifanya kampeni manzese ndio ulikuwa uwanja wake wa nyumbani
   
 4. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #4
  Apr 26, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mrema yeye alikuwa na wagombea wawili wa urais JK na yule wa chama chake
   
 5. gwino

  gwino JF-Expert Member

  #5
  Apr 26, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 335
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mi kilichonikera ni wasanii wa bongo fleva kuwa upande wa ccm huku wakikisifia kuwa n chama cha bora.
   
 6. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #6
  Apr 26, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  mie nilichukia sana kitendo cha makamba kuwazuia wagombea wa CCM kuhudhuria midahalo
   
 7. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #7
  Apr 26, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Makamba na Kinana....
   
 8. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #8
  Apr 26, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Kilichonikera ni Jk kutoa ahadi kila sehemu aliyokwenda!
   
 9. snagy

  snagy Member

  #9
  Apr 26, 2011
  Joined: Mar 12, 2010
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mimi kilichokuwa kinanikera na polisi walivyokuwa wanasitisha mikutano ya vyama vya upinzani hata kabla ya muda halali kutimia na kuwaruhusu wagombea wa chama cha ccm hata kama muda umeshatimia
   
 10. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #10
  Apr 26, 2011
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,523
  Likes Received: 292
  Trophy Points: 180
  Nilichukia kampeni ya chuki dhidi ya Kikwete kwa kutumia udini iliyoendeshwa tar 24 oct kwenye Kanisa Kuu la Njombe.
   
 11. Congo

  Congo JF-Expert Member

  #11
  Apr 26, 2011
  Joined: Mar 13, 2008
  Messages: 1,274
  Likes Received: 559
  Trophy Points: 280
  Nilichukia kupoteza kura yangu kutokana na wizi wa kura yangu uliofanyika jimbo la segerea.
   
 12. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #12
  Apr 26, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Ahahahahaha wazee wa kuchakachua walifanya mambo yao
   
 13. wapalepale

  wapalepale JF-Expert Member

  #13
  Apr 26, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 259
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 33
  me nilichukia kuona majina ya watu yanakosekana kwenye vituo sahihi walivyojiandikishia, hali iliyopelekea wengine kukata tamaa ya kufuatilia hivyo kukosa haki yao ya msingi
   
 14. Mtoka Mbali

  Mtoka Mbali JF-Expert Member

  #14
  Apr 26, 2011
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 238
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kitendo cha Batilda kukataa kushindwa hadi kumuita Lowasa ili wampe chapa Mh. Lema, hicho kitendo kilinikera sana
   
 15. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #15
  Apr 26, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  mi kilichonikera ni baa niliyozoea kupata supu na bia asubuhi ilifungwa eti kisa meneja na wahudumu wapo kwenye foleni za kupiga kura.
   
 16. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #16
  Apr 26, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Ahahahaha! Jaluo Nyeupe kwa hiyo siku hiyo ulikosa supu
   
 17. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #17
  Apr 26, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  ilibidi niende kupata chai ya rangi kwenye vibanda vya mama lishe. Yaani hiyo siku nilikereka kweli.
   
 18. Makene

  Makene JF-Expert Member

  #18
  Apr 27, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,479
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mi nilikerwa na mtindo mzima wa upigaji kura, nafuu ingekuwa ya kwamba mtu anatangazwa kwanza kuwa mshindi halafu ndio upigaji kura unafuata baadae.
   
Loading...