Ni nini dira ya taifa letu?

CHENGU MANURE

JF-Expert Member
May 26, 2015
914
566
Leo nimejikuta najiuliza, wajuzi mnifahamishe..

Dira ya nchi hii ni nini? Maana meli kubwa kama hii kukoswa muelekeo inaweza kuwa hatari. "Pasipo maono, taifa huangamia"

Je, ni;
Ilani za vyama,
Hapa kazi,
Katiba mbovu au mpya au ya Warioba,
Chochote rais anachoamua?
 
Hayo maswali magumu sanaa!!!

Ndio maana kila mwanasiasa anakuja na ulaghai kwa kutumia misamiati yenye tungo tata.

Ari mpya - ya zamani inatatizo gani
Hapa kazi -kazi bila maono ni kuzunguka duara
Kasi zaidi, nguvu zaidi
M4C - neno sio content linagombaniwa
Millenia goals.
Gesi 2025 tanzania kuwa km ulaya
Maazimio krb mikoa yote
Kustukiza watu makazini mwao
 
Vision ipo nakuwekea hapo chini.Utekelezaji wake wa miaka mitano umeainishwa kwenye ilani ya CCM aliyokuwa akinadi Magufuli ambayo ili itekelezeke mgombea wa CCM aliwaambia ni KAZI tu ili tufikie hayo maono.

Dira ya Tanzania kwa wale mnaokaa kwenye viroba na vijiwe vya kahawa mnaosema haipo hiyo hapo nawawekea

http://www.tzonline.org/pdf/theTanzaniadevelopmentvision.pdf
 
Ulipita kwenye makampuni yanayojitambua utakuna vision zao kila kona. Lengo ni kubadili behaviur za watu wao waendane na vision.

Sasa vision zako unazijua wew na rafiki zako tu

Baba wa taifa wa malysia alisema anataka ifikie hatua hata mtoto mdogo awe na uwezo wa kujua nchi inaenda wapi. Na yeye anachangia vipii.

Hizo vision mmewawekea mnaowaomba msaada au.
 
Leo nimejikuta najiuliza, wajuzi mnifahamishe

Dira ya nchi hii ni nini? Maana meli kubwa kama hii kukoswa muelekeo inaweza kuwa hatari.
"PASOPO MAONo taifa huangamia"

Je ni,
Ilani za vyama
Hapa kazi
Katiba mbovu au mpya au ya warioba
Chochote rais anachoamua

Google - Tanzania Vision 2025
 
Ulipita kwenye makampuni yanayojitambua utakuna vision zao kila kona. Lengo ni kubadili behaviur za watu wao waendane na vision.

Sasa vision zako unazijua wew na rafiki zako tu

Baba wa taifa wa malysia alisema anataka ifikie hatua hata mtoto mdogo awe na uwezo wa kujua nchi inaenda wapi. Na yeye anachangia vipii.

Hizo vision mmewawekea mnaowaomba msaada au.

Ndio utaratibu wetu, ndio maana ata kuna jamaa alituambia tukasome ilani kwenye website.
 
Ulipita kwenye makampuni yanayojitambua utakuna vision zao kila kona. Lengo ni kubadili behaviur za watu wao waendane na vision.

Sasa vision zako unazijua wew na rafiki zako tu

Tatizo la nchi hii kuna wasomi wachache sana wanaojua kufuatilia mambo ya nchi yanaendaje.Msomi mzima unakuta hajui vision ya nchi au ya wizara au ya taasisi anapofanyia kazi ndani ya taasisi yenyewe.Nenda kaulize hata baadhi ya walimu wa vyuo vikuu kuhusu dira za vyuo vyao utakuta hawajui.

Kila wizara na taasisi zote zina dira zao zingine zimebandikwa hata kwenye kuta za ofisi zao lakini kawaulize hata wafanyakazi wasomi kabisa unakuta hawajui.Kwa hiyo sikushangai wewe nimefanya utafiti kwa hili najua wasomi wengine tulionao nchi ni wasomi koko.

Kama wewe umeajiriwa serikalini kama msomi uwe wa sekta ya umma au binafsi kama hujui dira ya nchi unaendeshaje shughuli zako? Ukijua dira unajua hata fursa ziko wapi hata ukiwa sekta binafsi.Lakini kama hujui dira basi kama mtoa maada alivyosema utapotea utakuwa kama ni kazi au biashara unafanya tu hujui unachofanya kina uhusiano gani na dira na kinasaidia vipi kufikia dira ya taifa.
 
mkuu kwa mara ya kwanza umenifanya nikusikitikie japo una hoja kiasi fulani.

1. kwanza reference ya national vision ni tzonline.org na sio tanzania.go.tz ambako hata sasa sidhani kama ipo.

2. Nchi ambayo ni chini ya asilimia kumi au ishirini ya wananchi wake wanauwezo wa kuwa online. Maono ya Taifa yanapatikana Mitandaoni.

3. Dira au maono ya nchi ambayo asilimia zaidi ya 90 hawajui kiingereza kwa ufasaa yapo kwa lugha ya kiingereza badala ya kiswahili.

4. Ni kwa jinsi gani Nchi inapima maendeleo kama tuko nyuma au mbele au sawasawa na dira inavyotaka tuwe hadi leo?

5.Dira ya kwanza ya taifa hili ilikuwa ni kupata uhuru, ya pili ikawa based on azimio la arusha (ilijulikana nchi nzima hada madarasani tulifundishwa japo ilifeli) hii ya tatu unaweza kunipa mikakati inavofanyika ifahamike nchi nzima na kulink microvisions ya wananchi na BIG national vision kuanzia kwenye kata, mitaa vijiji, bungeni, mijini na vijijini . (usiwaseme wasomi, angalia watanzania wenfi ambao sio wasomi ni wachuuzi, wauza vitumbua, mama ntilie na wakulima)

6.Utaimza vipi malengo ya taifa au maono kama budget yako inategemea hadi kesho pesa za walipa kodi a nchi nyingine za ulaya.

7. Nitakuwa na uhakika gani kama hizo vision zilizo kwenye websites za NGOs na .org websites ni za kweli?

8. Vision au maono ya kitaifa yanalindwa vipi kikatiba na ilani za vyama, rais ambaye hastakiwi, isingiliwe. etc.

9. Nchi hii inaundwa na vyama vingi taasisis tofauti. Lakini iliundwa mwaka 2000 na serikali ya chama tawala ndio maana unajisifu na kwenye ilani ya ccm inajitahidi kutekelezwa. Kuna haja ya kutegemea kitu kama hiki?

10: Ni hatua gani ya dhalura ichukuliwe ikitokea vision haikuwa sahihi, au hatuwezi kufika kwa cision hiyo ya 2000 to 2025. Sina uhakika yawezekana hata walioitunga hawapo kwenye serikali. Bila kusahau nini kinamfunga mwanasiasa katika kampeni asiahidi vitu visivyoendana na dira hii

Tuanzie hapo ntapita tena.
Acha siasa twende kitaifa zaidi mkuu.
 
Mkuu maswali mazuri hayo ila nakumbuka kauli moja "HATUNA DIRA AU MWELEKEO" iliyotoa maisha ya mtu.

1. Tumejaa ujinga hata hatujui umuhimu wa Dira tunafikiria vijitamko vya chama fulani ndiyo dira. Jiulize kama ni Dira tupo wapi kwa sasa kwenye mwelekeo wa Dira.

2. Dira ni shirikishi haihodhiwi na mtu wala chama na wala haihifadhiwi kwenye makabrasha bila kufuatiliwa. Inakubalika na wananchi walalapo waamkapo na wanaiishi. Si ya rais anapokurupuka. Jiulize awamu tano za CCM dira yao ilikuwa nini hadi tunashuhudia mparaganyiko wa utekelezaji wa mambo muhimu kama ukusanyaji wa kodi?
3. Nasikitika kutoa mtazamo wangu kuwa ujinga umetamalaki tunahitaji elimu ya msingi kujua na kuiheshimu dira yetu kama nchi.

ELIMU ELIMU ELIMU kukosekana kwake ndiyo kukosekana kwa dira.

DIRA YA KITAIFA HAIPO. DIRA TULIYONAYO NI RAIS ATAKAVYOAMKA
 
Ifikapo mwaka 2025 Tanzania iwe nchi yenye uchumi wa kati. Rejea National Development Vision of 2025
 
Ulioyasikia kwenye kampein ya jpjm na ambayo yalianzwa kutekelezwa siku tatu baada ya kuapishwa.
 
mkuu kwa mara ya kwanza umenifanya nikusikitikie japo una hoja kiasi fulani.

1. kwanza reference ya national vision ni tzonline.org na sio tanzania.go.tz ambako hata sasa sidhani kama ipo.

Uko sahihi pia ungekumbusha ni ya lini

2. Nchi ambayo ni chini ya asilimia kumi au ishirini ya wananchi wake wanauwezo wa kuwa online. Maono ya Taifa yanapatikana Mitandaoni.

Mkuu huo ndio ujinga tunaoushuhudia wa kibaguzi kama huna fursa ya mtandao dira ya taifa haikuhusu. Wajinga wanalionea fahari hili kwa sababu linawaweka madarakani

3. Dira au maono ya nchi ambayo asilimia zaidi ya 90 hawajui kiingereza kwa ufasaa yapo kwa lugha ya kiingereza badala ya kiswahili.

Mkuu ni ule upumbavu wa kuhodhi ufahamu wa mambo ya kitaifa kwa manufaa ya wachache

4. Ni kwa jinsi gani Nchi inapima maendeleo kama tuko nyuma au mbele au sawasawa na dira inavyotaka tuwe hadi leo?

Tathmini ni dhana isiyokubalika kwa watawala waovu. Umuhimu wa kujitathmini si utamaduni wetu na hasa watawala wetu hawajitathmini na hawataki kufanyiwa tathmini.

5.Dira ya kwanza ya taifa hili ilikuwa ni kupata uhuru, ya pili ikawa based on azimio la arusha (ilijulikana nchi nzima hada madarasani tulifundishwa japo ilifeli) hii ya tatu unaweza kunipa mikakati inavofanyika ifahamike nchi nzima na kulink microvisions ya wananchi na BIG national vision kuanzia kwenye kata, mitaa vijiji, bungeni, mijini na vijijini . (usiwaseme wasomi, angalia watanzania wenfi ambao sio wasomi ni wachuuzi, wauza vitumbua, mama ntilie na wakulima)

Umesema karibu yote. Uelewa wangu kwa mfano ni kuwa na dira kama "TANZANIA NI NCHI YA NEEMA KWA KILA MTU" Hii inaelekeza uchumi kwa manufaa ya wananchi wote na huduma za kijamii kwa kila mwananchi.

6.Utaimza vipi malengo ya taifa au maono kama budget yako inategemea hadi kesho pesa za walipa kodi a nchi nyingine za ulaya.

7. Nitakuwa na uhakika gani kama hizo vision zilizo kwenye websites za NGOs na .org websites ni za kweli?

Inaonyesha jinsi ambavyo dira ya taifa haina thamani zaidi ya kuwa ni za NGO kupigia hela.

8. Vision au maono ya kitaifa yanalindwa vipi kikatiba na ilani za vyama, rais ambaye hastakiwi, isingiliwe. etc.

Ndiyo maana katiba ya wananchi haitakubaliwa kamwe na watawala kwa sababu kulikuwa na tamko la dira na mwelekeo iliyotakiwa na wananchi. Tatizo inawaondolea watawala kuhodhi dira ya taifa kwa maufaa yao.

9. Nchi hii inaundwa na vyama vingi taasisis tofauti. Lakini iliundwa mwaka 2000 na serikali ya chama tawala ndio maana unajisifu na kwenye ilani ya ccm inajitahidi kutekelezwa. Kuna haja ya kutegemea kitu kama hiki?

Ndiyo shida wanajisahau kuwa bila CCM Tanzani ipo pale pale. CCM watakufa ikitokea dira shirikishi itapita

10: Ni hatua gani ya dhalura ichukuliwe ikitokea vision haikuwa sahihi, au hatuwezi kufika kwa cision hiyo ya 2000 to 2025. Sina uhakika yawezekana hata walioitunga hawapo kwenye serikali. Bila kusahau nini kinamfunga mwanasiasa katika kampeni asiahidi vitu visivyoendana na dira hii

Kizungu kuna maneno mapana yanahitaji "CHECKS AND BALANCES kwa kuwepo MONITORING AND EVALUATION FRAMEWORK"
Watawala wanaona hiyo ni auditing itakayoishia kushtakiana kihalali bila usimamizi wa watawala

Tuanzie hapo ntapita tena.
Acha siasa twende kitaifa zaidi mkuu.

Umeshuhudia comments zisizo rafiki kwa masuala mya kitaifa. Jifariji tu kuwa mada yako ni chakula tosha cha akili
 
Uko sahihi pia ungekumbusha ni ya lini

Mkuu huo ndio ujinga tunaoushuhudia wa kibaguzi kama huna fursa ya mtandao dira ya taifa haikuhusu. Wajinga wanalionea fahari hili kwa sababu linawaweka madarakani

Mkuu ni ule upumbavu wa kuhodhi ufahamu wa mambo ya kitaifa kwa manufaa ya wachache

Tathmini ni dhana isiyokubalika kwa watawala waovu. Umuhimu wa kujitathmini si utamaduni wetu na hasa watawala wetu hawajitathmini na hawataki kufanyiwa tathmini.

Umesema karibu yote. Uelewa wangu kwa mfano ni kuwa na dira kama "TANZANIA NI NCHI YA NEEMA KWA KILA MTU" Hii inaelekeza uchumi kwa manufaa ya wananchi wote na huduma za kijamii kwa kila mwananchi.

Inaonyesha jinsi ambavyo dira ya taifa haina thamani zaidi ya kuwa ni za NGO kupigia hela.

Ndiyo maana katiba ya wananchi haitakubaliwa kamwe na watawala kwa sababu kulikuwa na tamko la dira na mwelekeo iliyotakiwa na wananchi. Tatizo inawaondolea watawala kuhodhi dira ya taifa kwa maufaa yao.

Ndiyo shida wanajisahau kuwa bila CCM Tanzani ipo pale pale. CCM watakufa ikitokea dira shirikishi itapita

Kizungu kuna maneno mapana yanahitaji "CHECKS AND BALANCES kwa kuwepo MONITORING AND EVALUATION FRAMEWORK"
Watawala wanaona hiyo ni auditing itakayoishia kushtakiana kihalali bila usimamizi wa watawala

Umeshuhudia comments zisizo rafiki kwa masuala mya kitaifa. Jifariji tu kuwa mada yako ni chakula tosha cha akili

uko vizuri mkuu. huku jf ukitaka ujadili hoja nje ya ccm na ukawa nakutaka muweke taifa mbele. watu karibu wote wanakimbia.

Hili nalo ni Online JIPU
 
Ifikapo mwaka 2025 Tanzania iwe nchi yenye uchumi wa kati. Rejea National Development Vision of 2025
miaka 15 imepita. Tunaprogress au tumeganda.

Tukimbie mwendo wa farasi tufike tunakokwenda au tutembee.

wakutufiksha hapo ni sisi wenyewe, Nani wa kukwambia tupo wapi na tunaelekea wapi kama wanasiasa wanakuja na hoja na maono yao.
 
Ulioyasikia kwenye kampein ya jpjm na ambayo yalianzwa kutekelezwa siku tatu baada ya kuapishwa.

NATIONAL VISION sio personal/part manifesto.

hizo ni suprise national vision, ni kitu ambacho kinatarajiwa sio kinakuja kama embe lilioanguka mtini. Japo wote tunapongeza juhudi.
 
Tatizo la nchi hii kuna wasomi wachache sana wanaojua kufuatilia mambo ya nchi yanaendaje.Msomi mzima unakuta hajui vision ya nchi au ya wizara au ya taasisi anapofanyia kazi ndani ya taasisi yenyewe.Nenda kaulize hata baadhi ya walimu wa vyuo vikuu kuhusu dira za vyuo vyao utakuta hawajui.

Kila wizara na taasisi zote zina dira zao zingine zimebandikwa hata kwenye kuta za ofisi zao lakini kawaulize hata wafanyakazi wasomi kabisa unakuta hawajui.Kwa hiyo sikushangai wewe nimefanya utafiti kwa hili najua wasomi wengine tulionao nchi ni wasomi koko.

Kama wewe umeajiriwa serikalini kama msomi uwe wa sekta ya umma au binafsi kama hujui dira ya nchi unaendeshaje shughuli zako? Ukijua dira unajua hata fursa ziko wapi hata ukiwa sekta binafsi.Lakini kama hujui dira basi kama mtoa maada alivyosema utapotea utakuwa kama ni kazi au biashara unafanya tu hujui unachofanya kina uhusiano gani na dira na kinasaidia vipi kufikia dira ya taifa.

Kwanin mwananchi wa kawaida hajui hizo vision za nchi?
 
Back
Top Bottom