Ni ngumu mwanamke kufanya ngono na rafiki yake wa kiume

Sijui ni kwanini sisi wanawake tukizoeana na wanaume na kuwa marafiki sana hata wakija kututaka kimapenzi inakuwa ngumu tunaogopa.

Unakuta ni mtu wako sana yaani, mnashare kila kitu hata mizinga unampiga fresh ila kulala nae sijui unaonaje!

Ni bora ukagegedwe huko hata kama unaumizwa lakini si na rafiki yako.

Na nyie wakaka kama mnatutaka msitufanye marafiki sana bwana tunaogopa kuja kuwavulia tunakuwa tushawaona mabrother wetu wa damu eti.


Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi mbona sio rafiki yako halafu unanibania?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii stori inafanana na yangu kabisa.... Nilivyokua chuo kikuu.. Tena ilikua kwa shemeji yangu... Demu wa mshkaji wangu damu damu.. Walikua wakigombana mi ndo msuluhishi.. Siku nikalala kwake...tofauti yangu ilikua proper sex, tukabanjuana vizuri tu..... Na tukaendelea tena na tena...
Nna rafiki angu wa kiume ni rafiki close kabisa yani yule crayz friend alikuwa anakuja kulala kwangu kila ijumaa anaondoka jpili,na mimi hivyo hivyo yani tunapeana tu zamu ijumaa hii kwangu ijumaa hii kwako,yani mpka mpenzi wake walikuwa wanagombana kwa ajili yangu afu mimi tena ndo nakuwa msuluhishi,kuna siku usiku tumelala ghafla kavua tukaanza kukumbatiana hatimaye tukavunja amri ya sita,asubuhi palipokucha kila mtu anasema sorry bahati mbaya,kwahiyo kwetu hiyo ilikuwa ni one night stand,japo baada ya hapo aliendelea kuja kila ijumaa na tulikuwa hatufanyi chochote,tuliacha hiyo tabia ya yeye kuja kulala kwangu nilivyopata mpenzi,na hata urafiki ulipungua,sahizi yeye yupo zake uk,
Hiyo inaitwa frendzone

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom